kiloriti
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 483
- 1,135
Huyo huyo mfugaji ndiye aliyeiua CCM maeneo mengi, na ndiye aliyeshinda kura za wananchi, tume wakafanya yao.
Nchi hii ilitakiwa kuongozwa na viongozi wenye maono, siyo kiongozi aliyepatikana kwa ajali ya siasa
Mkuu mungi shikilia hapo hapo,mwiba umezama penyewe,huyu lumumba harudii