Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Kibatala: kwa Mara ya kwanza ulikutana na Mbowe?
Kaaya:mwezi wa kwanza 2020
Kibatala:unafahamu kuwa kipindi hicho Mbowe alikuwa mahabusu?

Kibatala: ulikamatwa lini ?
Kaaya: mwezi wa 8 ,2020
Kibatala:ulimpatia mbowe majina na namba lini?
Kaaya:mwezi wa 10 ,2020

Hadi mashahidi wote waishe Hangaya nae atatajwa hivyo ili kufikia malengo ni Bora huyu Kibatala alambe uteuzi wa kuwa AG tu.
 
Huyu shahidi ni empty head utopolo kabisa...hiki ndio kiwango cha uelewa cha watu wetu... huyu ni mtu anayekutana na waheshimiwa mara kwa mara...
... Hao ndio wakereketwa na makada kindakindaki wa CCM! Ukikutana nao kwenye anga zao utadhani are so bright kumbe loh!

Bila nguvu za dola hawana lolote; kwenye level playing field hakuna kitu mzee! Usione issue ya Katiba Mpya inafanyiwa kila aina ya hila wanajijua walivyo!
 
Huyu bwana sasa leo naona anabanwa vizuri ikiwepo ule ushauri nilioandika jana kwenye mtiririko wa ushahidi, bwana Kibatala kadokoa baadhi ya vitu vichache vilivyohusiana na malipo aliyoyataja huyo mkulima wa karoti...
Hata mimi nimeona.

Ila watu wasimlaumu huyu Shahidi anajua anachokifanya, hata yeye hapendi, anaharibu makusudi kabisa.
 
UVCCM anzeni recruitment mpya ya vijana, kama vijana wenyewe ndio hawa basi Chama kina hasara kubwa sana na Taifa pia...huyu ni kijana aliyehitimu form four akili inashindwa kuchakata faster na kujinasua.

Jaji ikiwezekana amfunge huyu kijana hata 30yrs hivi kwa kuleta mzaha kwenye mambo ya maana na iwe fundisho kwa vijana wengine kuacha tabia ya uchawa na upambe usio na maana...
 
Kwa cross-exam ya leo, case closed! Mbowe Januari 2020 alikwa gerezani Segerea lakini wakati huo huo alikutana na Shahidi Kaaya huko Longido! How possible was that?...
Mmeshaanza kushangilia ushindi wakati ndiyo kwanza dakika ya 5 kati ya 90, punguzeni mihemko
 
"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake."

Wapiga mayowe mitandaoni walikuwa wanasema hii kesi rahisi sana, sasa huu utitiri wa mawakili wa nini wakati kesi ni rahisi sana?
Hizi akili za kijinga mnazo huko Lumumba Tu, waulize wenzio maana ya WAKILI kujiongeza kwenye kesi watakueleza wewe Zuzu usiye mbunge.
 
Mmeshaanza kushangilia ushindi wakati ndiyo kwanza dakika ya 5 kati ya 90, punguzeni mihemko
Inawezeka ukawa gerezani segerea at the same time ukakutana na Jesca wa Sabaya Longido?

Tuache hilo.... Ulikutana na Mbowe lini? Octoba 2020! Ulikamatwa lini? Agosti 2020! Umekaa gerezani miezi mingapi? 11...!!!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
"Kibatala: Jana Katika Statement Yako umeeleza kuwa ulimtongoza Helga Mchomvu

Shahidi: Ndiyo ni sahihi

Kibatala: unafahamu Helga Mchomvu Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri Ya Hai kuwa anamiaka Mingapi

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Mimi Nakwambia Sasa Ana miaka 60,wewe Unamiaka Mingapi

Shahidi: Miaka 31

Kibatala: na Ulimtongoza

Shahidi: Ndiyo"

Huyu Sabaya alikuwa mtu wa hovyo sana, hili linajidhihirisha pia kwa watu wake wa karibu kwani walikuwa wa hovyohovyo kama yeye! Kijana wa miaka 31 unamtongozaje Bibi wa miaka 60?
 
Inawezeka ukawa gerezani segerea at the same time ukakutana na Jesca wa Sabaya Longido?

Tuache hilo.... Ulikutana na Mbowe lini? Octoba 2020! Ulikamatwa lini? Agosti 2020! Umekaa gerezani miezi mingapi? 11.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kujichanganya kwenye mahojiano ya mahakamani kawaida sana
 
Sasa huyu shahidi mbona kila kitu ni kama fambastic, maelezo yake ya awali kwa maandishi na ushahdi wake vitu viwili tofauti, sasa mahakama ishike yapi? au yajumlishwe, na yakijumlishwa si yatakinzana... kazi kubwa hii.
Hayakinzani Mkuu,

Mara ya Kwanza kukutana na Mbowe ilikuwa Oct 2020 mara ya pili ilikuwa Jan.2020. Kwa Leo ni hayo MH. Jaji.
 
Back
Top Bottom