Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 2,597
- 3,093
Huyu shaidi mbona mweupe Sana kichwani, hivi kwanini maelezo aliyotoa Chini ya polisi, ni tofauti na maelezo aliyotoa Jana wakati anaongozwa na wakili wa serikali, Na pia ni tofauti na maelezo aliyoyatoa polisi,Kuna vitu vingi anaviongea havipo ktk maelezo aliyotoa Polisi.
Inamaana sio kazi ya wakili wa serikali kumwambia azungumze kile ambacho amekitolea maelezo au wakili wa serikali huwa hasomi maelezo ya shaidi wake kabla.
hii kesi mbona Kina Mbowe Wana kila dalili yakutokutwa na hatia Kama itahukumiwa kwa haki