Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022

Kibatala :Unafahamu Unatakiwa Kuwa na Adabu Unapokuwa Kwenye Kizimba Cha Mahakama na Mchakato huu
 
Leo Shahidi ana angukia na Kitu kizito sana kichwani,naamini mashahidi wamichongo Sasa watakimbia jumla
 
Tiganga Ni wa wapi, Kabila gani?
Uwa ni jaji mzuri sana tunafanya nae kazi anatendaga haki sana sema hii kesi ni ya kisiasa sana akitenda haki lazima aumie eg kumtoa mjini na kumpeleka mazingira magumu etc. Trust me tiganga ni jaji mzuri
 
NATAFUTA KESI ZAKE NA KUZISOMA KUONA KAMA ZINA MANTIKI YA KISHERIA MAANA HUU USHENZI ANAOUFANYA ANAKUWA MTUMISHI WA SHETANI NA LANA JUU
 
Attachments

  • CONTRACT BWRU.pdf
    8.6 MB · Views: 9
Uwa ni jaji mzuri sana tunafanya nae kazi anatendaga haki sana sema hii kesi ni ya kisiasa sana akitenda haki lazima aumie eg kumtoa mjini na kumpeleka mazingira magumu etc. Trust me tiganga ni jaji mzuri
With due respect, Tiga is still incompetent Judge. So he has wrong way to go.
 
Wamfunge haraka sana huyu gaidi..mama usije kuingia kwenye mtego wa kitoto wa Zito kabwe.
Mwisho wa siku utadharaulika na utakuwa umethibitishia ulimwengu yakwamba kesi hii ni yakutengenezwa na umetoa msamaha kwa kushinikizwa na wanaharakati, wanasiasa na vyombi vya habari vyenye mrengo ule wa kisiasa.

Mualivu ni mualivu tu hata Dunia yote ipige kelele...apigwe kitazi mara moja ili iwe fundisho kwa wanasiasa wahuni na kwa vizazi vijavyo
Mualivu! Huu ni mwandiko wa gt ati! Nauona ufupi wa akili Yako na roho Yako mbaya! Ushabiki mwingine unazidi kinyesi Cha popo Kwa mbali Sana!
Fanya hivi, mtafute surgeon yeyote aliye hospitali iliyopo jirani na unapoishi akusaidie kupasua hilo fuvu ili kukiondoa kinyesi kilijazana humo huenda ukapata ahueni! Pathetic!
 
Kina Kibatala wako vizuri sana kwenye mawakilisho yao. Kitu kinacho onekana Jaji yuko kama wakili wa upande wa mashtaka.
Yaani ana wasaidia hata kwenye vitu walivyo visahau.
Kuna shida kubwa sana kwenye hii kesi.
Kuna watu wanatakiwa wajengewe minara..... kweny sheria TL na kibatara...jamaa Hawa ni Gifted kwenye professional ya sheria...Huwa wanawalaza watu na viatu mahakamani....

Nilicho jifunza majaji ni watu Tena wa kuchaguliwa na Rais...
Hivyo lazima asilimia 90 wawe sided na mamlaka za uteuzi hasa hasa kweny kesi zinazo gusa interest za serikali....In third world countries There's no true separation of power .....A case study of Job ndugai

#Mbowe sio Gaidi
#Free freeman
#Kudai KATIBA mpya sio Ugaidi
 
Wamfunge haraka sana huyu gaidi..mama usije kuingia kwenye mtego wa kitoto wa Zito kabwe.
Mwisho wa siku utadharaulika na utakuwa umethibitishia ulimwengu yakwamba kesi hii ni yakutengenezwa na umetoa msamaha kwa kushinikizwa na wanaharakati, wanasiasa na vyombi vya habari vyenye mrengo ule wa kisiasa.

Mualivu ni mualivu tu hata Dunia yote ipige kelele...apigwe kitazi mara moja ili iwe fundisho kwa wanasiasa wahuni na kwa vizazi vijavyo
Hapo kwenye MUALIVU hapo. Hapo hata mimi naunga mkono afungwe kabisaa. Maana UALIVU hautakiwi katika nchi hii. Hahahaah! Umetisha jamaa! MUALIVU!!!!!!!!!
 
Kina Kibatala wako vizuri sana kwenye mawakilisho yao. Kitu kinacho onekana Jaji yuko kama wakili wa upande wa mashtaka.
Yaani ana wasaidia hata kwenye vitu walivyo visahau.
Kuna shida kubwa sana kwenye hii kesi.

Yaani mahakama inatumika mpaka inajidharaulisha.
 
Hapo kwenye MUALIVU hapo. Hapo hata mimi naunga mkono afungwe kabisaa. Maana UALIVU hautakiwi katika nchi hii. Hahahaah! Umetisha jamaa! MUALIVU!!!!!!!!!
Itakuwa ni Mchaga huyu.

Halafu anamsagia kunguni ndugu yake wa damu.

Dah siasa mbaya.
 
Uwa ni jaji mzuri sana tunafanya nae kazi anatendaga haki sana sema hii kesi ni ya kisiasa sana akitenda haki lazima aumie eg kumtoa mjini na kumpeleka mazingira magumu etc. Trust me tiganga ni jaji mzuri
Basi Ni bogus so aumize watu kisa hasipelekwe vijijini
 
Back
Top Bottom