Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,649
Bye bye bye CCM....
Dada Tedo bado anarubuniwa na wahuni Wa mjini?
Bye bye bye CCM....
kwahiyo unataka tukusaidie nini?? huna ulichofata hapo zaidi y umbea, tulia upewe chakul cha ioni ukalaleMimi nimetoka Dodoma, na niko ndani ya ukumbi.
System ya ccm iko vizuri sana jamani ndani ya Tanzania.
Hivi kuna wajinga bado wanadanganywa na MBOWE na kutuma fedha zao?
Tulia basi mkuu uandike vitu vya kueleweka? Chadema mna akili gani hizi?
Verified user tena kurugenzi ya chadema inaandika upuuzi hivi...haya kutokaka ndio mdudu gani?"Watanzania wamekuwa wakikosa kuwaamini viongozi wao kutokaka na kushindwa kusimamia rasilimali zao"
mfumo waaliyetayari kuchangia ataweza hata kufuatilia alichochangia, akitaka kutajwa atajwa na kaisi chake, akitaka kiwe siri basi kiwe siri, wataheshimu hilo hawatakutangaza
Dada Tedo bado anarubuniwa na wahuni Wa mjini?
Punguza kuwashwa..jikune banaa
Ukishakuwa msukule huwezi kuona upungufu wa bwanaKwa elimu MULUGO kamwe huwezi kuelewa hiyo kauli ambayo ina uzito mkubwa sana.
Wewe mburura kweli!!!! gharama za rais kwenda China kupewa uprofesseri kiasi gani?
Gharama zs kukimbiza mwenge nchi nzima shilingi ngapi?
Chadema hawaongozi serikali na hawana mkataba na watanzania kuwapa huduma hizo hadi mwaka 2015.
Leo unaw.a.shwaaaaa.....kila kona ngoja na hii wanaifuta sasa.
Mmeshikwa pabaya!! Najua Ifweero hapo ulipo usingizi umegoma kwa maumivu ya moyo. Sio nyie juzi kati Idara yenu ya uenezi imepitisha bajeti ya TShs Bilioni 3?? Tulia upewe dozi upone. Hata ukilia, bakora lazima ucharazwe
Kwahyo ccm mnakiri nchi hii kuna watanzania wanakufa njaa, wanakosa huduma za matibabu n.k?
Mukulu ashasema akiwa China kwamba kachoka.
Kamasi zimemjaa kichwani mtoa mada......loooo!! EsCrOr,ePa,KaGoDa n.k alafu kuzulula kwa kikwete gharama hazijui ila za chadema mnazijua...T*KO kweli mtoa mada
Akili yako ndogo sana DADA. Hivi umeshawahi kutumia (kununua madawati, n.k) bila kutafuta hiyo pesa ya kununulia hayo madawati? Umeshawahi kufaulu mtihani bila kusoma au kuhudhuria vipindi?
MSALANI, Lizaboni, FaizaFoxy, gsu njoni muokoe jahazi.mtoa mada mburura katoroka milembe
gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka