idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
Endeleeni kudhulumu mafukara na wajinga.....
Ruzuku ya chama mle na familia zenu halafu mtake kuibia walalahoi kwa michango ya kitapeli...
hahaha!! yangu macho, ni kama walalahoi walivyodhulumiwa kwenye epa, escrow, richmond, radar, na makorokocho yanayofanana na hayo.