Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka

ama kweli ukubwa wa kichwa sio wingi wa akili! nini jukumu la serikali kwa wananchi? mbona kodi zinakusanywa na kuliwa na mafisadi, subiri UKAWA washike nchi then ndo uhoji.
 
Na WAKWERE wameishazipata za Vietnam na China?

Mkuu tusiwe kama wao,, tuwe tofauti sisi,,, kwani hata mimi ------ naiunga mkono CDM na ukawa... Tusiiishi wanavyoishi... Adui wetu no 1 ni CCM tupambane atoke!!!
 
nilimaanisha Dr Slaa a Nahitaji mkopo na hazina ya cdm iko tupu
 
BI30PS561 Imethibitishwa. Tsh300 imetumwa kwa PAYLINK SYSTEM LIMITED kwenye akaunti namba M4Caaronchillo tarehe 31/10/14 saa 11:10 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh167,230.
 
uropokaji unamshushia mtu utu wake. Acha tabia hii


mnafanya kazi mazingira magumu sana kweli ukilijali sana tumbo unaweza kushushwa suruale mkuu. Jf it were we dare to talk openly kumbuka kuna vichwa balaa hapa sio facebook
 
BI30PR334 Imethibitishwa. Tsh750,000
imetumwa kwa PAYLINK SYSTEM LIMITED
kwenye akaunti namba M4Ckilaza tarehe
31/10/14 saa 11:08 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh450,825.
 
bi30ps561 imethibitishwa. Tsh300 imetumwa kwa paylink system limited kwenye akaunti namba m4caaronchillo tarehe 31/10/14 saa 11:10 pm
salio lako la m-pesa ni tsh167,230.
nsharusha buku peoplesssssssssssssssssss
 
Mbwa wa CCM wanabweka, simba CHADEMA wananguruma, Tembo wa UKAWA wanakanyaga ardhi. Presha inapanda, presure inashuka. Ni Sheeeeeeeeeeeeeeeeeeda. Hakuna kulala.................
 
ImageUploadedByJamiiForums1414786981.551772.jpg
 
Back
Top Bottom