Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Shida yako unapenda kutumika kama Condom,
Umekaa kinjaa njaa tu, na watu kama nyinyi hamtakaa mfanikiwe milele maana mnaishi kwa kutegemea fitna na majungu!!
Mkuu hizo Ni tabia za Mashoga. Ajabu moja Ni kuwa wale wote wanamtukuza na kutumiwa na Madelu wanatabia hizo! Ona Mtela yule mtoto kaharibiwa sana mpaka tembea yake inatia mashaka.
 

Vijana wote wanaojitambua wako ACT
umebaki wewe tu ulieshikiwa akili zako, nasiku ukirudishiwa akili zako atishangaa ulivyokuwa zezeta.

Ni kweli kabisa kwa sababu vijana wote wasiojitambua wako CCM???? Juliana Shonza ya kweli haya wakati wewe mwenyewe una KIPAJI CHA SIASA!!
Tihii tihi tihi.
 
Last edited by a moderator:
Ludo nakushauri tafuta chakufanya usishindane namipango ya mungu juu yawajaweke chadema nikimbilio lawaliopotaza tumaini usijaribu utaumia ,watu wanamachungu watu wameshaumizwa unaletamchezo..........!
 

Vijana wote wanaojitambua wako ACT
umebaki wewe tu ulieshikiwa akili zako, nasiku ukirudishiwa akili zako atishangaa ulivyokuwa zezeta.

kwa hiyo wale wa UVCCM hawajitambui nao wameshikiliwa akili? huzipendi kucha zako
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

KWAHIYO leo unatangaza RASMI KWAMBA HUKUPEWA LIFTI BALI ULIKUWA SEHEMU YA MSAFARA ? WASALITI MNAADHIRIKA HIVI HIVI MNAJIONA , UZURI NI KWAMBA MAANDISHI HAYA HAYATAFUTIKA .
 
kweli nimeamini JICHO LA CHADEMA NI KAMA LA TAI ! HAYA WALE WOTE MLIOIAMINI ILE VIDEO FEKI YA UGAIDI WA LWAKATARE , MNA LIPI LA KUSEMA , KUHUSIANA NA LUDO KUFUMANIWA KWENYE GHETTO LA WASALITI ?
 
Back
Top Bottom