kashinje juma
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 706
- 544
Soma vzr unielewe ndio unijibu,usikurupuke tu kunijibu bira kuelewa nilichoandika na kumaanisha.lKitu ambavyo huamini ni nini!? Alipigwa risasi au hakupigwa!? Alifanyiwa operation na kutolewa hizo risasi 17 .... au ulitaka umuone amekonda mpaka kichwa kama mgonjwa wa ukimwi ndiyo uamini. Kwa nini usiende Nairobi ujionee mwenyewe!!?
Potezea mkuu.Kwahiyo hakupigwa risasi???? Kunavitu vinaudhi hadi watu wanaweza kuvaa mabomu ili liwalo na liwe
Kwani kuna mtu kakwambia ni mfuasi wao bali kauli yako imethibitishaMimi siyo mfuasi wa Lissu wala Chadema ila swali lako ni lakipuuzi sana na linasadifu umbumbumbu wako, hayo makovu ulitaka yaonekane maana yaliandikwa na oil chafu au?
Hapo unaona umetoa mwenyewe,!Mie niliwahi kubishana ma watu tukiwa nairobi kamkunji,baada ya picha ya lissu ya kwanza kuwa imetoka,kuna mtu alihoji kw nn lissu anaonekana ni mnene na ana afya njema wakt alikuwa anapumua kw mashine na kula kw mpira kw miezi miwili?! Walimpolomoshea matusi ya juu,lkn mie niliwaambia wampe majibu badara ya kutukana.
Pole pole ndugu yangu. Hata ukivaa mabomu ni kazi bure. Utaiacha dunia inakwenda tu na hao uliowavalia mabomu wataendelea kufanya kile kile kilichokufanya uvae mabomu...na unaweza kuta hata hao mabikra 72 hawapo !!!Kwahiyo hakupigwa risasi???? Kunavitu vinaudhi hadi watu wanaweza kuvaa mabomu ili liwalo na liwe
Cjakuelewa unamaanisha nn?Hapo unaona umetoa mwenyewe,!
Yaani huo upuuzi unaita swali muhimu!Hata wao hawajui makovu yako wapi,kilichobaki ni hasira tu.Hawa jamaa kuwaongoza rahisi sana coz thinking capacity yao iko chini sana.Swali muhim kama hili mtu hataki kuhoji.Huwa nawaambia kuna vitu vingi sana kuhusu lisu ukijiuliza hupat majibu bas tu.
Hana kaz za kufanyaWenye akili wako busy Na kutafuta pesa, wewe makovu yanakusaidia nini?
Mitihani inakuja kadiri ulivyo, huwezi shindana na Mungu kwa pesa.. Kweli pesa ina nguvu. Angekuwa kapuku huyu angekuwa keshakufa zamani. Tutafuteni pesa kwa nguvu zote aisee !!!
Kuna maprofesa wana pata pesa ya kula tu, kuna ambao hawakwenda shule wameajiri watu.Tofauti kati ya tajiri Na masikini ni namna yao ya kufikiri
Kama una mashaka katika tukio hili kwamba hakupigwa risasi basi akili yako ni ndogo sana, huwezi kuunganisha haya dot mbili. We unaliona hili tukio ni dogo sana au sio?, na kwamba wewe ni intelligent kuliko TISS yaani wameshindwa kugundua hili igizoWaambie wenzio ambao hawataki kabisa kuhoji jambo lolote kuhusu lisu. Inatia shaka sana