Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Kamtafute na kumuulizia aliyetumwa kuua yeye akamkosakosa atakwambia na kukuonyesha yaliko makovu
 
binadamu bana sijui kwa nini ni wagumu namna hii,hivi hizi picha tu zinaweza kufanya ujue wapi pana kovu la risasi na wapi hakuna umemgeuza geuza Lissu mwilini{kwenye hizo picha} hukuona makovu?
 

Boss USSR Nakubatiza, kuanzia leo jina lako ni Tomaso.
 
Muulize speaker ambaye alikuwepo Dodoma pale hospitali,au nenda Kenya ukaichunguze miguu yake,na usiporidhika mmiminie nyingine ili yaonekane makovu unayoyapenda.
Acha utoto spika ndio msemaji wa hospital
 
Mleta mada ni mtu asiye julikana. Kwani mlivyo piga risasi, mlilenga paja au mguu wa chini? Una Bahati nipo mbali na wewe, ningekufanya kitu mbaya
 
Ila watanzania sisi ni wajinga na washamba kwanza kunadawa zakutoa makovu, plastic surgery inatoa makovu. Kweli ujinga mzigo
 
Risasi 38, bado yupo hivyoo ?!
 
Mleta mada ni mtu asiye julikana. Kwani mlivyo piga risasi, mlilenga paja au mguu wa chini? Una Bahati nipo mbali na wewe, ningekufanya kitu mbaya
Utabaki kuwa uchwara kama jina lako ningekuona usingenisahau
 
Dola 300,000 zimeshatumika kovu utaliona wapi, akirudi Dar hata mbio za marathon km42 ataweza
. Kweli pesa ina nguvu. Angekuwa kapuku huyu angekuwa keshakufa zamani. Tutafuteni pesa kwa nguvu zote aisee !!!
 
Waambie wenzio ambao hawataki kabisa kuhoji jambo lolote kuhusu lisu. Inatia shaka sana

Wenzangu wakina nani? Kuna watu wengi nanifanana nao mitazamo hapa jukwaani, siwajui wala hawanijui na mawazo na mitazamo yangu kuoona na wao ni coincodence tu na sio jambo la kupangwa kiasi sio rahisi kufanana kwa kila kitu kama gwaride la jeshi.

Ninavyojua Lissu alipigwa risasi, ni ngapi zilimpata mwilini sijadhibitisha mimi binafsi zaidi ya ninazoambiwa. Kwenye picha ninazoona mtandaoni sioni kovu, labda kutokana na mkao wa picha, mpigaji hajapiga hayo maeneo yenye makovu. Kama ni jambo linalohitaji udhibitisho basi seheme zenye makovu zipigwe zionekane pia ili kutoa utata. Swali dogo bwana Misuli, baada ya makovu kuonekana au kutokuonekana polisi wataanza uchunguzi?
 
Vipi umeambiwa police hawajafanya uchunguz?
 
Kitu ambavyo huamini ni nini!? Alipigwa risasi au hakupigwa!? Alifanyiwa operation na kutolewa hizo risasi 17 .... au ulitaka umuone amekonda mpaka kichwa kama mgonjwa wa ukimwi ndiyo uamini. Kwa nini usiende Nairobi ujionee mwenyewe!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…