Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Unadhani alipelekwa dispensary yenu ya kijijiKuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Mkuu mbona hasira hivo?Hili ni jukwaa la Great thinker na sifa ya great thinker ni kuwa open minded, sasa kosa la muuliza swali ni nn?Je haruhusiwi kuhoji?Au kuna mipaka great thinker amewekewa na haruhusiwi kuvuka ktk kuhoji?
Unakumbuka?Nakumbuka kama risasi nyingi alipigwa maeneo ya paja
Kama mtu katibiwa hadi makovu yamefutika si itakua kapona?Kama ni hivyo si arudi tu Nyumbani?au kunauwezekano makovu yakawa yamepona lkn kwa ndani basi kuna ttz?Nahoji tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unadhani alipelekwa dispensary yenu ya kijiji
Hosptal aliyokwenda kutibiwa ni Hosptal makini wanajua kazi yao.Wenye akili wako busy Na kutafuta pesa, wewe makovu yanakusaidia nini?
Hakutibiwa muhimbili huyoKuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Tulioneshwa hivyo vyeti...?Jibu la swali ni kumuonesha yalipo makovu. Kama tulivyokuwa tunadai tuoneshwe vyeti kuthibitisha elimu ya Bashite.
Hata na wewe tumepoteza nafasi hujajibu swaliOf course nilitegemea utetezi wa yako wapi makovu.Sijaona shida ya hili swali na sioni umuhim wa ktukana.Mwenyewe sijayaona na nilitegemea maelezo ya kitaalam
Wewe umejibu swali ?Retired
Lkn kosa lake ni nini huyu mtu!!?? Kuuliza makovu ya risasi yalipo??!! Km yeye hayaoni na wewe unayaona c umwelekeze ayaone,matusi wala hayahitajika pale.
Umejibu swali mkuuSwali lataka jibu. Kovu la risasi lina mounekano kama huu.
Au huu kwa makovu ya zamani.
Ukizumu vizuri picha ya Lissu kuna kovu moja linaonekana mguu wa kulia wa Lissu. Ingawaje siwezi kusema kwa uhakika ni kovu la risasi.
Watu wanaleta uongo kuwa ooh hakupigwa mguuni, ukitibiwa vizuri kovu halionekani. Bullshit ni kuleta uchama kwenye kisa cha kutatanisha. Na ndio maana ni muhimu kwa polisi kumuona muhusika na shahidi ili kupata ufumbuzi wa kesi. Idadi ya makovu ikiwa tofauti na maelezo yaliyotolewa na watoa habari yake pia inaweza kuwa ishu na inaweza kupelekea kujua kama kuna muongo mahali fulani.
Matomaso waende na Nairobi au wansubiri akirudi Tz kwani kwa kawaida ya " Matomaso" hawaamini mpaka .......kama alivyokuwa Tomaso (original)Yako wapi makovu?Au yamefutika?Wengine ni matomaso wanataka makovu na sioni ttz wakihoji.