Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,306
- 83,755
Sasa unawashangaa njiwa wakati hata wanaume wa kibongo mna masharti mengi zaidi ya hayo ili msiondoke?
Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?