Yajue masharti ya kufuga nguruwe hawapendi wafia dini,wachawi na mapepo

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,738
Babu yangu alifuga nguruwe na walikuwa wengi ila alipigwa vita sana Wana Kijiji.
Miaka ilivozidi kwenda wale walio mpiga vita wengi wao walituumiwa kwa uchawi sana.

Nguruwe ni mnyama pendwa sana ambaye unaweza kumaliza kuanzia kilo Moja peke yako.

Nguruwe ni dawa tosha kwa mapepo ndio maana sehemu hazipo malalamiko mengi.
Popo bawa anaishia mbagara tu kushuka kusini sababu hakuna mla kitimoto.

Kitimoto anakupa amasa ya kutafuta pesa na kuacha unafiki.

Kuna wafia dini ila wanapenda kisicho na mafuta wakiita "waakati".

Kitimoto hakibagui kuanzia mnywa soda na pombe.
 
...., hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Naye akawaruhusu. Basi, hao pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe. Kundi lote la nguruwe wapatao 2,000 likaporomoka kwenye ule mteremko mkali mpaka ziwani, likatumbukia majini.

Marko 5:1-20

Walawi 11:7 (BHN)
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi

Kumbukumbu la Sheria 14:8 (BHN)
Pia msile nguruwe, maana ijapokuwa kwato zake zimegawanyika sehemu mbili, yeye hacheui; hao ni najisi kwenu, msile nyama zao wala msiguse mizoga yao

Isaya 66:17 (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wapo watu wanaojitakasa na kutawadha wapate kuingia kwenye bustani za ibada za sanamu; wanafanya maandamano na kuhani akiwa kati yao. Watu hao hula nguruwe, panya na vyakula vingine haramu. Watu hao hakika watakufa wote pamoja

..
 
Kwahiyo tunafundishwa nini hii sura? Au ndiyo tuseme nguruwe wanamapepo?
 
Babu yangu alifuga nguruwe na walikuwa wengi ila alipigwa vita sana Wana Kijiji.
Miaka ilivozidi kwenda wale walio mpiga vita wengi wao walituumiwa kwa uchawi sana.

Nguruwe ni mnyama pendwa sana ambaye unaweza kumaliza kuanzia kilo Moja peke yako.

Nguruwe ni dawa tosha kwa mapepo ndio maana sehemu hazipo malalamiko mengi.
Popo bawa anaishia mbagara tu kushuka kusini sababu hakuna mla kitimoto.

Kitimoto anakupa amasa ya kutafuta pesa na kuacha unafiki.

Kuna wafia dini ila wanapenda kisicho na mafuta wakiita "waakati".

Kitimoto hakibagui kuanzia mnywa soda na pombe.
FaizaFoxy soma hapa
 
Kuna kitu special kwa kitimoto,kwanini walaji wa kitimoto ni watu smart na wanamaendeleo sana cheki western countries na nchi kama uchina. Kabila kama wachaga.

Pia ndio mnyama pekee organs zake zinatumika kupandikizwa kwa binadamu.

Hakika kitimoto ni zaidi ya tuijuavyo.
 
Hivi unazijua koo za majini,yapo majini yanakula hadi kitimoto.
Rejea kisa Cha wale mapepo 2 walioingia kwenye kundi la nguruwe
 
...., hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Naye akawaruhusu. Basi, hao pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe. Kundi lote la nguruwe wapatao 2,000 likaporomoka kwenye ule mteremko mkali mpaka ziwani, likatumbukia majini.

Marko 5:1-20

Walawi 11:7 (BHN)
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi

Kumbukumbu la Sheria 14:8 (BHN)
Pia msile nguruwe, maana ijapokuwa kwato zake zimegawanyika sehemu mbili, yeye hacheui; hao ni najisi kwenu, msile nyama zao wala msiguse mizoga yao

Isaya 66:17 (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wapo watu wanaojitakasa na kutawadha wapate kuingia kwenye bustani za ibada za sanamu; wanafanya maandamano na kuhani akiwa kati yao. Watu hao hula nguruwe, panya na vyakula vingine haramu. Watu hao hakika watakufa wote pamoja

..
Ingekua hivyo basi kwenye yale mafuriko ya akina Noah kitimoto angefutwa kabisa duniani ila hadi sahivi anadunda..... Huyo tunajua ni kiboko yenu wachawi na wafuga majini
 
Babu yangu alifuga nguruwe na walikuwa wengi ila alipigwa vita sana Wana Kijiji.
Miaka ilivozidi kwenda wale walio mpiga vita wengi wao walituumiwa kwa uchawi sana.

Nguruwe ni mnyama pendwa sana ambaye unaweza kumaliza kuanzia kilo Moja peke yako.

Nguruwe ni dawa tosha kwa mapepo ndio maana sehemu hazipo malalamiko mengi.
Popo bawa anaishia mbagara tu kushuka kusini sababu hakuna mla kitimoto.

Kitimoto anakupa amasa ya kutafuta pesa na kuacha unafiki.

Kuna wafia dini ila wanapenda kisicho na mafuta wakiita "waakati".

Kitimoto hakibagui kuanzia mnywa soda na pombe.
Kwa wachawi walioko MBINGA lkn idadi ya watu na nguruwe ni km km inalingana,kwa 7bu hiyo nasema umedanganya.
 
Ingekua hivyo basi kwenye yale mafuriko ya akina Noah kitimoto angefutwa kabisa duniani ila hadi sahivi anadunda..... Huyo tunajua ni kiboko yenu wachawi na wafuga majini
Kama unaamini ni kiboko Cha mapepo/majini kwa nini ilikuwa rahisi Kwa hayo mapepo yaombe kwa Yesu sehemu rahisi ya kuingia kwenye nguruwe? Badala ya kukwepa?
 
Back
Top Bottom