Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Sasa unawashangaa njiwa wakati hata wanaume wa kibongo mna masharti mengi zaidi ya hayo ili msiondoke?
Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?
 
Njiwa kweli wana mambo ya kise* sasa utaanzaje kuwajulisha msiba au sherehe utawaandikia bango ama
 
Hawa njiwa wakitoroka huko walipohamia unaenda kumwaga pilipil kwenye maji yao ya kunywa spendag ujinga
 
Inasemekana hawapendi umbea lakini ukimpa mimba au kuchepuka na beki 3 umjulisha kiishara mke wako na kusepa wakikuachia timbwili peke yako...
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom