Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,882
- 38,513
Hivi kuna viumbe vina masharti mengi ya kuvitunza ili visiondoke kama wanaume wa bongo? Yaani wanaume wa bongo ni zaidi ya njiwa kwa kweli.
Nakusalimia tu...... Mambo?
Hivi kuna viumbe vina masharti mengi ya kuvitunza ili visiondoke kama wanaume wa bongo? Yaani wanaume wa bongo ni zaidi ya njiwa kwa kweli.
Kuliko hata kuku huyu anataka mipaja ya kuku wa kienyejiNjiwa ni kama pambo tu madam wanafurahisha kuwatizama.
Pia hata kuchija siku nilikuwa nikiamua nawaambia waandae mafuta tu nachinja 10+ wanawakaanga ni watamu sana.
Sio lazima akimbie acha ujinga. Unaweza kumfuga mmoja ukimchukua kinda.Atakimbia lazima so no moja pia ongeza kwenye orodha ya facts za kweli
Hapo upo vice versa nyie ndo njiwa kbsaHivi kuna viumbe vina masharti mengi ya kuvitunza ili visiondoke kama wanaume wa bongo? Yaani wanaume wa bongo ni zaidi ya njiwa kwa kweli.
Hivi kuna viumbe vina masharti mengi ya kuvitunza ili visiondoke kama wanaume wa bongo? Yaani wanaume wa bongo ni zaidi ya njiwa kwa kweli.
Yah mweupe anauzwa had 30kNimepata kusikia njiwa pia hutumiwa katika kusafirisha bidhaa haramu, anabebeshwa na anaruka nazo "to a desired destination." Achilia mbali huku kwetu ambapo watu hufuga njiwa kwa ajili ya mambo ya kiimani/kishirikina.
Utasikia anatakiwa njiwa mweusi au mweupe au wa bluu nk, kwa ajili ya mambo ya kishirikina na hapo ndipo wafuga njiwa hupata kipato kikubwa kuliko wafuga kuku
Mbishi sasa mbn mm walnkmbia mara tatu...Sio lazima akimbie acha ujinga. Unaweza kumfuga mmoja ukimchukua kinda.
Weee kumbe ana njiwa jirani yangu HB wa kigogo mwambie nataka njiwa wa udhurungi jomoniiiiJirani yako kaniambia anafuga njiwa ila haya masharti sidhani kama anayajua ngoja nimtag ayasome HB wa kigogo
Hahahahaa wajinga kwelidunh noma sana kwa hiyo njiwa wanadeka kuliko wanawake wajawazito
*nasikia hata ukinyoa kiduku wanaondoka, ukivaa jezi ya arsenal ndo wanabeba na kibanda kabisa
anao wawili tu kasema anakusanya wa kwenda kutoa mahari😂😂😂😂Weee kumbe ana njiwa jirani yangu HB wa kigogo mwambie nataka njiwa wa udhurungi jomoniiii
Nakusalimia tu...... Mambo?
Ndie njiwa ghali zaidiWaw, what a big deal !!
Hapo upo vice versa nyie ndo njiwa kbsa
Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?
Ukweli unauma ila ndo ukweli mchungu huo muupokee tu hivyo hivyo hata kama ni ngumu kumeza au nimedanganya?Maneno yako anti yanakata kama kisu, aiseee!!
shikamooMmhh hamna lolote kwani ninyi huwa mnakubalianaga na hayo masharti? Si mnasemaga kama vipi waondoke tu