Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Nimepata kusikia njiwa pia hutumiwa katika kusafirisha bidhaa haramu, anabebeshwa na anaruka nazo "to a desired destination." Achilia mbali huku kwetu ambapo watu hufuga njiwa kwa ajili ya mambo ya kiimani/kishirikina.

Utasikia anatakiwa njiwa mweusi au mweupe au wa bluu nk, kwa ajili ya mambo ya kishirikina na hapo ndipo wafuga njiwa hupata kipato kikubwa kuliko wafuga kuku🤣🤣
 
Nimepata kusikia njiwa pia hutumiwa katika kusafirisha bidhaa haramu, anabebeshwa na anaruka nazo "to a desired destination." Achilia mbali huku kwetu ambapo watu hufuga njiwa kwa ajili ya mambo ya kiimani/kishirikina.

Utasikia anatakiwa njiwa mweusi au mweupe au wa bluu nk, kwa ajili ya mambo ya kishirikina na hapo ndipo wafuga njiwa hupata kipato kikubwa kuliko wafuga kuku
Yah mweupe anauzwa had 30k
 
Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?
 
Yaani kwa kifupi hawapendi kudukuliwa wanaha mtandao kama inavyo wakuta kampuni furani hapo bongo kwa kuuza siri za wareja
 
aiseee unafundiahwa ustaarabu
Sasa hawa ni watu, ndege, mizimu au mashetani? Tabu yote ya nini kuchukua tahadhari kama rubani wa bombadier kisa ndege? Waifu au jirani akizingua nivunge tu kisa njiwa? Yani nafundishwa adabu na njiwa?
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom