Yahusu: Majini mahaba...

Yahusu: Majini mahaba...

Unahisi una tatizo hilo!?Mimi experience yangu ipo sana kupitia watumishi wa Mungu.Mara nyingi huwa naangalia Emmanuel Tv.Wengi wanaoombewa huwa kuna Manifestation ya Evil spirit.Sasa huwa kama akili zao zimewatoka na wanaanza ku confess kuwa ni spiritual husband/ Wife.Na huwa yana confess destruction kwa sababu yana wivu sana.Ukifanya kinyume na yanavotaka yatakuharibia kila kitu kama kuvunjika ndoa , kuharibu biashara , kuleta magonjwa au kuua wenzi.Mara nyingi yanakuingia kupitia maagano ya wazazi wako kama walienda kwa mganga,Yakikupenda tu /kama una nyota fulani ,Kama yanataka kukutumia kuingiza watu katika ufalme wao au wakati mwingine ni mtu anakuendea kwa mganga na kukutupia ili akukomoe au amchukue mumeo/mkeo. Wengi wenye tatizo hili ni WANAWAKE i mean majini mahaba yanawakumba sana wanawake kuliko wanaume.Wachache huwa yanawatokea physically, wengine kwenye ndoto na wengi unashangaa tu vitu haviendi.Permanent solution ni maombi ya delivarance na kuishi katika neno.

asante dada ZD. kwa kifupi ni kwamba wanawake ndio wako kwenye risk kubwa sana ya kukumbwa na haya mashetani,

lakini jambo lingine, kwanini yawakumbe hawa wanawake ambao wanaishi huku maghorofani? wale wa sitimbi wako safe,

tatizo ni nini hasa kwa hawa wanawake walioko mijini..
 
Mkuu uko pwani ya wapi?

Sidhani kama unatakiwa kuogopa kuhusiana na hili swala.

Cha msingi ni kutafuta ukweli tu.

mkuu niko Dar es salaam,

ni kweli mkuu sitakiwi kuogopa, lakini kwa jinsi hii nahamasika sana kufanya utafiti, huwezi jua kesho janga litamuangukia nani.

Lazima nijue ukweli.
 
Jini mahaba au kiumbe chochote kiitwacho jini ni malaika walio muasi mwenyezi Mungu Isaya 14:12 pia soma waefeso 6:10-14 Mara nyingi huja kwa wanadamu kwa sura ya kibinadamu maana uwezo walio pewa Mungu hakuunyang'anya aliwaachia.
Tuba
Ni kumpokea YESU Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako ndio suluhisho la matatizo hesabu 23:23 hakuna uchawi katika Israel wala uganga katika yakobo. Maana yake kwa wanao mwamini Mungu hakuna uchawi wala nguvu yeyote ya Giza itakayo pambana nawe. Soma yohana 14:1-6
shukrani sana mkuu, inaonekana malaika waliomuasi MUNGU ni wengi sana!

au wanazaliana ? maana hii Dunia ilivyo kubwa, sidhani kama walitupwa dunia nzima..
 
na wakinogewa wanazaa na binadamu kabisa, kuna mijitu ina akili mpaka unashangaa ni kizazi cha hawa viumbe, kwa anayeamini biblia kabla sijarudi asome kuhusu watu ambao waliitwa mashufeli, hutopata shida tena kujuwa kuhusu hili.

jamani ngoja nitandike suti yangu I will be back.

mkuu nimeingia google kuwasaka hao watu, lakini sijaona matokeo yoyote zaidi ya kurudishwa JF,

Hivi ina maana kwamba majini yana akili sana kuliko wanadamu?

hivi hiki kizazi cha malaika wachafu kinazaliana? wanaongezekaje hawa viumbe?
 
duh...dalili ulizotoa mzizimkavu mbona nyingi sana?

mpaka hapo tu dalili tatu zinanihusu

Yaan mie ndio kabisaa... Mpaka naogopa kusema nina dalili hizo... Hasa za kuota kuzaa, kuzalisha (kumsaidia mmama kujifungua) kunyonyesha, kuingiliwa kimwili ndotoni...


Mmmmhhhh.... Am scared!!! :scared: :scared:
 
Walio mwasi Mungu ni robo tatu ya malaika wote wa mbinguni wengi sana kuwa Mungu ataamua kutufunulia macho Haya ya kimwili tuone nataka nikuhakikishie kwamba hakuna binadamu ambaye angefanya kazi maana hofu ingetawala mno.
Pia malaika hawa wengi huja katika sura mbali mbali kwa sura ya wanawake wazuri mno. Sura ya mwanaume mzuri sana.
Kwa sura ya nyoka sura ya vitu vya asili. Ukweli dunia Sio salama kabisa
 
Mm hayo mambo huwa naogopa sana...yani mm npigwe miti?!...mungu aepushie mbali.

kwani hilo huwa ni voluntary ama involuntary?

basi kwa taarifa tu ni kwamba, kupigwa miti na majini ni involuntary action kama hauna MUNGU ndani mwako!

tena utapigwa kila siku dadeki ukiwa na kisirani.. lol!

omba usibambwe! yatakuja manne manne kukukomesha kabisa!
 
Yaan mie ndio kabisaa... Mpaka naogopa kusema nina dalili hizo... Hasa za kuota kuzaa, kuzalisha (kumsaidia mmama kujifungua) kunyonyesha, kuingiliwa kimwili ndotoni...


Mmmmhhhh.... Am scared!!! :scared: :scared:

Tumuombe Mungu ...atatusaidia..
Sitaki kabisa kuamini naweza kuwa na hayo madude mie
 
Tumuombe Mungu ...atatusaidia..
Sitaki kabisa kuamini naweza kuwa na hayo madude mie

za siku nyingi mwallu?

utajisikiaje siku yakikukuta?

siombei lakini iwe hivyo, nataka tu kufahamu kwa hali ile ya mwanzo mwanzo utafanya maamuzi gani?
 
Yaan mie ndio kabisaa... Mpaka naogopa kusema nina dalili hizo... Hasa za kuota kuzaa, kuzalisha (kumsaidia mmama kujifungua) kunyonyesha, kuingiliwa kimwili ndotoni...Mmmmhhhh.... Am scared!!! :scared: :scared:
aisee.. pole sana dada.. tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu atuepushie mbali.

nimenyetishiwa kwamba hawa viumbe wamejaa zaidi huku pwani na mikoa yake...!!

sasa sijui hawa wenyeji wanaishi vipi nao?
 
za siku nyingi mwallu?

utajisikiaje siku yakikukuta?

siombei lakini iwe hivyo, nataka tu kufahamu kwa hali ile ya mwanzo mwanzo utafanya maamuzi gani?

Mbio ndefu mpaka kanisani.maombi na kusimamia imani ya kweli naamini ndicho kitu kitakachonisaidia....yashindwe katika jina la Yesu
 
ahsante sana mkuu, umenifumbua macho pakubwa sana!

ila kwanini tatizo hili linaikumba sana mikoa ya pwani?

hiii ndiyo dalili kwamba ni makao ya majini ?

Kwa kweli sina uhakika na hilo.kwenye maombi niliambiwa yana watu wao yanaowapenda.labda hao watu wenye sifa wanazotaka ziko kwa victims wa pwani,kupenda kujiremba sana,hasahasa ile unaenda kulala alafu unajipamba,kupaka lipstick,wanja na mapowder.wa kijiji czani kama wanafanyaga hvyo.kupenda kujivika vito vya dhahabu.kuna sababu zngne sizikumbuki vzuri,...
 
kwani hilo huwa ni voluntary ama involuntary?

basi kwa taarifa tu ni kwamba, kupigwa miti na majini ni involuntary action kama hauna MUNGU ndani mwako!

tena utapigwa kila siku dadeki ukiwa na kisirani.. lol!

omba usibambwe! yatakuja manne manne kukukomesha kabisa!

yalaa nomaa ene'wei kula kitimoto daily hutasikia habar hizi
 
Jesus Christ!

hivi ni nani aliyeyapa ruhusa majini kuvaa mwili wa mwanadamu?

mkuu nimestushwa sana hii habari! inakuwaje majini yanunuliwe e-bay? naomba ufafanuzi tafadhali!
Ayape nani sasa nawewe!. We hujui kua Jini/Shetani nikiumbe cha mungu? Sasa kama hajakipa mungu unategemea atakipa nani?
 
Kwa kweli sina uhakika na hilo.kwenye maombi niliambiwa yana watu wao yanaowapenda.labda hao watu wenye sifa wanazotaka ziko kwa victims wa pwani,kupenda kujiremba sana,hasahasa ile unaenda kulala alafu unajipamba,kupaka lipstick,wanja na mapowder.wa kijiji czani kama wanafanyaga hvyo.kupenda kujivika vito vya dhahabu.kuna sababu zngne sizikumbuki vzuri,...

asante sonni, sababu ulizotaja hapo naona kweli zinarandana na hadithi zilizoko mitaani, mikoa ya pwani hasa Tanga, Dar es salaam na Pwani imekuwa ndio inayoathirika zaidi...

sijajua hasa kwanini hawa viumbe wahusiane na majina kama maimuna etc... kwanini arabic?
 
Ayape nani sasa nawewe!. We hujui kua Jini/Shetani nikiumbe cha mungu? Sasa kama hajakipa mungu unategemea atakipa nani?

toa andiko linalothibisha kuwa Mungu aliruhusu majini yavae mwili wa mwanadamu na kuleta madhara,

kiukweli hiyo kauli mimi siijui, naisikia kwako kwa mara ya kwanza.
 
nimekutana na hii katika pita pita hapa jf...

credit to mama porojo wa hapa hapa mjengoni....

Majini au mapepo ni viumbe ambavyo havionekani kwa macho, ni viumbe kama malaika isipokuwa majini na mapepo yalifukuzwa mbinguni pamoja na shetani baada ya kuasi, na yalitupwa duniani yakisubiri siku ya mwisho ya hukumu.

Shetani na majini, wanajua kabisa kuwa jehanum ya moto ipo kwa ajili yao, ndiyo maana wanafanya kila mbinu wasiingie peke yao huko jehanum, shetani ni mwongo, laghai anawatumia sana wachawi, waganga wa kienyeji, wasoma nyota kupandikiza majini, kuiba nyota yako ya mafanikio, kuchukua watu misukule nk.

Kuna aina nyingi za majini baadhi yake ni kama:-

1) Murafari - hili ni jini linalozuia mafanikio ya kupata fedha, mafanikio ya elimu nk.
2) Latifu - hili jini linaloleta ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo
3) Jahari - Jini anayetumiwa kuiba mali na kuzuia biashara kustawi
4) Hasinani - jini hili ni la fujo, ulevi wa pombe, bangi na dawa za kulevya
5) Jube - jini hili linasababisha utasa
6) Subiani - jini la ajali, linasababisha wanawake kutokupata siku zao, na kunyonya damu za akina mama siku zao za hedhi ambapo wanapata maumivu makali sana.
7) Sumil - jini hili huangamiza mimba changa
8) Waidadat - jini hili husababisha wanaume kuvaa hereni kusuka nywele na kutoga masikio.
9) Alibadiri - jini la kifo, likikupata kifo hutokea wakati wowote.
10) Anzura - Linawazuia vijana wa kike na kiume kuolewa/kuoa
11) Maimuna - linawakamata wanaume wenye ndoa zao hadi ndoa inavunjika
12) Makata - linasababisha vifo vya mfululizo kwenye familia
13) Faziur - jini la maandishi. Unaletewa barua ukiisoma tayari umelikwaa
14)Subha - jini hili linasababisha mtu kuwa na kiburi sana na kujiinua.
15) Maulan - jini linalofanya watu kuwa kichaa, au mtu ananuka wakati wowote
16) Al-maul - jini hili linamfanya mtu kuwa ombaomba
17) Zuhura au Zohari - Jini la fujo
18) Araba - Jini hili linafanya mtu apende sana ubani
19) Farkh - jini hili linatumwa hasa kwa wakristo kuangalia kama ana kinga (Wokovu)
20) Baradi - jini hili likikupata basi ndoa yako ni lazima itavunjika.
21) Shamsu - jini hili huvaa umbile la binadamu kwa sura yoyote.(sasa hivi mitaani majini haya yapo mengi sana)
22) Abuni - jini wa hasira
23) Kaimu - jini la kutambua nyota za watu
24) Tajuruni - jini la utajiri wa kichawi - ni lazima utoe kafara ya mwanao, mkeo au kufanya tendo la ndoa na mama yako mzazi
25) Al-taliki - jini hili linapoteza watu katika mazingira ya kutatanisha
26) Naluju - linasimamia lugha
27) Janatusi - linatumwa alfajiri kabla ya adhana kuleta usingizi kwa Wakristo wasifanye sala
28) Riyaron - jini hili linamfanya mtu afanye kila kazi peke yake
29) Zaitun - Jini hili linasababisha wasichana kuwa na maringo
30) Ruyati - jini linalosimamia ndoto mbaya
31) Al-rahabu - jini linalosababisha hitilafu ya umeme
32) Hadharaji - jini hili linafanya kazi ya kukata kichwa cha mtu ili wapate damu
33) Anazihaji - jini hili ndilo linachukua roho yako ukifa kwenye dhambi
34) Nghruk - linasababisha maafa
35)Munkara - jini la makaburini
36) Takadhuru - jini linaloleta mali za masharti.
37) Rabindi - jini la Waislamu pekee yao ili wafanye fujo.
38) Balishebe - jini la magonjwa yasiyopona
39) Sajiduri - jini linalokusaidia kupata pesa, kisha zinapotea kwa haraka
40) Rumiran - linasimamia uwongo
41) Lairlihabi - linasimamia hofu, kutojiamini na kukata tamaa
42) Rohani - jini la mateso na fujo
43) Betrah - jini hili linasimamia mapambo, kwa mwanamke huwa anajipamba isivyo kawaida, halikadhalika mwanaume
44)Hanshari - linatumiwa sana na waarabu kulinda maduka yao
45) Walihuni - linazunguka nyumba likilinda biashara
46) Kurasih - jini la kupoteza fahamu
47) Tarik - huondoa amani nyumbani, kazini. Linafanya watu wasielewane
48) Atha - mungu wa kiarabu wa kuabudu sanamu
49) Munakir - linapoteza watu kimiujiza
50) Malik - jini la kumiliki biashara
51) Ghatabu - jini la kulainisha macho wa wanawake. Wanakuwa wanarembua
52) Khatuh - jini la uchawi wa kuchukua kucha, nywele na nguo za ndani
53) Fanken - jini hili linasimamia mtu kuzunguza kiswahili cha pwani
54) Zamzam - jini la marashi na kusimamia mikataba ya imani. Mkristo anaposilimishwa basi hutupiwa jini hili kupofushwa akili yake.
55) Mukitala - linatumwa kuangalia kinga za watu
56) Laufili - jini la uvivu
57) Al-khah - linakula damu iliyoganda
58 Abasaa - jini la hasira wivu na jeuri
59) Aherumi - jini la homa za mara kwa mara
60) Muba - jini la maradhi ya kuambikiza
61) Kamariram - jini hili linatoa kinga kwa majambazi
62) Zubiran - jini la uongo na uzushi
63) Abadi - Jini la wizi, umalaya na ujambazi
64) Muzamili- jini la matambiko ya kiarabu
65) Ruhadi - jini la wizi, umalaya na umasikini
66 Usuran - jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
67)Tubuyali - jini hili linamfanya mtu kuiba vitu vya ndani ya nyumba. Haibi nje ya nyumba
68) Zirach - jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
69) Ashuran - jini la utasa na maradhi ya akina mama

Kinga ya majini haya ni nyepesi ni KUOKOKA na kusimama katika neno la Mungu. Kama unayo dalili yoyote iliyosababishwa na majini hayo hapo juu na umeokoka, taja jina la hilo jini, ni lazima litaitika, kisha liwashie moto.

Kama hujaokoka usiyarushie mawe au moto yatakuumiza. Mwuone kiongozi yeyote wa kanisa akuongoze sala ya toba, kisha anza kuwasha moto, hakika yatakimbia na kuacha biashara, kazi, ndoa, na watoto wako huru.
 
Mmmhh mnantisha jamani! Natafutaga vitu sioni af pale pale ukirud unakikuta huwa najiuliza inamana nimekipta au sitafutag vizuri?!!....hapo kwenye kuota sasa uuwiii nafwa!!...mchungaji yupo wapi aniombee jamani loh!!
 
Mmmhh mnantisha jamani! Natafutaga vitu sioni af pale pale ukirud unakikuta huwa najiuliza inamana nimekipta au sitafutag vizuri?!!....hapo kwenye kuota sasa uuwiii nafwa!!...mchungaji yupo wapi aniombee jamani loh!!

hahahaaaa!! pole sana...! afu haya madude yakisemwa sana ndio yanakuja!

sasa kama na yenyewe ni roho, that means yako everywhere, hata hapo ulipo yapo,

nadhani sasa muda ufike yaanze kupewa uraia! lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom