mkuu leo nimesikiliza kipindi cha njia panda, clouds fm, jamaa alikuwa anazungumzia kuhusu majini na jinsi alivyokutana na lucifer, jamaa kaelezea eti kule ujijini alikoenda, ei majini sio mabaya kama yanavyokuwa huku juu kwetu! sura na mwili kadai eti ni kama mwanadamu, yani sisi tulivyo! hmm!
Alipomfikia lucifer, hmm! aisee its untold, jamaa kadai eti he is suraless! that means anabadilika badilika kila sekunde, mara mzungu, mchina, mwafrika, nk!
hawa jamaa wanaodai kwenda kuzimu sijui huwa wanasema kweli ama wanatunga? bado sijaamini kweli kuna mtu kakutana na lucifer eye to eye..
kuna wengine mimi kwa upande wangu siamini maneno au ushuhuda wao. Na wengi wao kama ukiwasikiza kwa makini ukizingatia ni namna gani walitambua kwamba huyo ndiye lucifer. Huwa hawana uhakika asilimia zote kwamba ni kweli ndiye lucifer.
mkuu unakumbuka ile kesi ya Kasinde?
hivi inakuwaje mpaka mtu anaingiliwa kimapenzi na kitu kisichokuwa na mwili?
jini ni shetani mtoto
Bora na wewe umeona, maana mie nililalamika hapa kuwa nimeingiliwa na popobawa watu wakaninanga mbayaa, tena yaweza kuwa alikuwa jini mahaba, ila God for bid asirudi tena au kufanya makazi yake kwangu, (au ndo maana nakuwa sina mpango wa kuolewa)..... mmmhhh!!! :suspicious:😕
nikufungulie yenye jina C L?
nipe hiyo assignment sis! it will be my pleasure to do it!
pimbi wewe, simu yangu natumia unlimited bundle, niko online Facebook na jf 24 hours. grow up.
Weito, sio kwamba siwezi kufungua basi tu sina interest na hiyo SN, shukrani kwa msaada wako! Nitatafuta njia nyingine labda niwe natembea na earfone ili muda ukifika nikiwa mahali popote niwe nasikiza! 😛eace:😛eace:
Bora na wewe umeona, maana mie nililalamika hapa kuwa nimeingiliwa na popobawa watu wakaninanga mbayaa, tena yaweza kuwa alikuwa jini mahaba, ila God for bid asirudi tena au kufanya makazi yake kwangu, (au ndo maana nakuwa sina mpango wa kuolewa)..... mmmhhh!!! :suspicious:😕
Mkuu Excel asante kwa topic hii ambayo imeniongezea maswali nitapenda MziziMkavu Pasco au yoyote mwenye kuweza anijibu maswali haya:-
1: Kuna wanaosema majini wanazaa kama binadamu na wengine wanakanusha. lkiwa hawazai ilikuwaje idadi yao ikawa kubwa kuliko ya binadamu? na kama kweli wanazaa inamaana wanakufa je, na wao wanarudi ktk moto kama ilivyo sisi kurudi ktk udongo?
2: Wanaoa na kuolewa na binadamu je, wanatoa talaka baada ya kushindana kama sisi, na wanaonana ktk maumbo ya kibinadamu au kila mmoja na umbo lake?
3: Hawa wanaodai kumwona lucifer/lbiris ktk sura mbaya, ni kweli walimwona sisi wote hatujui lakini ukisoma Bible au koran inasema alikuwa ni mzuri sana kama walivyo malaika, sasa kwanini awatokee ktk sura mbaya wakati wamemtembelea kwa wema, hata kama ana uwezo wa kujibadili?
Nimesha jibu sana hayo maswali hebu wewe tembelea hapa usome mwenyewe bonyeza hapa.[h=1]Topic: Je, majini ni kitu gani na yanataka nini?[/h]Mkuu Excel asante kwa topic hii ambayo imeniongezea maswali nitapenda MziziMkavu Pasco au yoyote mwenye kuweza anijibu maswali haya:-
1: Kuna wanaosema majini wanazaa kama binadamu na wengine wanakanusha. lkiwa hawazai ilikuwaje idadi yao ikawa kubwa kuliko ya binadamu? na kama kweli wanazaa inamaana wanakufa je, na wao wanarudi ktk moto kama ilivyo sisi kurudi ktk udongo?
2: Wanaoa na kuolewa na binadamu je, wanatoa talaka baada ya kushindana kama sisi, na wanaonana ktk maumbo ya kibinadamu au kila mmoja na umbo lake?
3: Hawa wanaodai kumwona lucifer/lbiris ktk sura mbaya, ni kweli walimwona sisi wote hatujui lakini ukisoma Bible au koran inasema alikuwa ni mzuri sana kama walivyo malaika, sasa kwanini awatokee ktk sura mbaya wakati wamemtembelea kwa wema, hata kama ana uwezo wa kujibadili?
Where have you been?
Nimesha jibu sana hayo maswali hebu wewe tembelea hapa usome mwenyewe bonyeza hapa.Topic: Je, majini ni kitu gani na yanataka nini?
Topic: Kwa wale wasiogopa majini angalieni hizi picha za majini
![]()