lyinga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 2,494
- 1,057
Inawezekana hata humu MMU wapo
Sio inawezekana wapo na watu tunachati nao ila huwezi jua
Inawezekana hata humu MMU wapo
Hahahaaa!! kwani we ndio unaamua mkuu? si kiumbe chenyewe kinakuja na kufungua zipu halafu kinaingiza na kutoa as many times as it wants? we kuja kustuka tu unakuta ushalowa vibaya sana!
Sio inawezekana wapo na watu tunachati nao ila huwezi jua
mkuu haijawahi kumkuta mtu yeyote ambaye unamfahamu labda?
Husika na kichwa cha habari hapo juu...
habari za jioni mabibi na mabwana, natumai kuwa mu wazima wa afya kabisa!
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni kupewa knowledge hasa juu ya huyu kiumbe (sijui ni kiumbe ama ni roho? kiukweli sijui).
The so called jini mahaba, ni kiumbe wa aina gani? inakuwaje mpaka anamuingia binadamu na kuwa na mahusiano nae mpaka kuzaa nae na kujenga maisha?
kwanini jini mahaba akishamuingia mwanaume, basi mwanaume inakuwa ni vigumu sana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yeyote yule ama kutelekeza familia kabisa?
Hawa viumbe wanapendelea kuishi mazingira ya aina gani? wanapenda nini kiujumla na hawapendi nini katika maisha yao?
wakuu, naombeni tuelezane kila kitu kuhusiana na majini mahaba, kiukweli kuna kitu cha msingi sana nataka kufahamu kutoka kwenu, nimepitia maandiko mengi mtandaoni, lakini nimeona si mbaya kama tukijadili na hapa!
mkuu utakuwa wa msaada sana katika hili, nakutakia kazi njema, tunakungoja sana mkuu!Nina mtoko kidogo leo nitwaeleza kuhusu hili nikirudi, hawa ni wabaya kwa wanawake na wanaume na pia wao wako jinsia hizo wakikuvaa hawapendi uwe na mwingine.
mwanamke ukiwa unaota ndoto za mapenzi mpaka unakojoa ogopa sana, kila mimba utakayopata itakuwa inaharibika hii ndio kazi yao viumbe hawa. nitarudi muda umenibana.
Matola ameahidi kuja kutoa elimu hapa,tusubiri!!
nakwenda kukemea uzee usinizoee kwahiyo sijui nitarudi kama mimi au tutakuwa tuko wengi kichwani.
mkuu utakuwa wa msaada sana katika hili, nakutakia kazi njema, tunakungoja sana mkuu!
mkuu nimehamasika sana kufahamu kuhusiana na hawa viumbe,
si unajua tena tumeingia maeneo ya PWANI huku ambako ndiko karibu makao ya hawa wadudu?
nina kesi nzito sana na roho yangu, nina imani itajibiwa na wana JF, nimejikuta nakiogopa kitanda...
Na huyo jini mahaba ana genye kiasi gani?