Yahusu kufuta kauli

Yahusu kufuta kauli

Nilimkopa muuza majeneza kwa kuweka simu moja bond... Nilikuwa na simu mbili... Sikutaka kupata aibu ya matumizi nje ya bajeti
na yale maneno ya kuwa "humpendi marehemu ndio maana ukala pesa ya jeneza.." uliyaepuka pia..
 
nite nite.
.
IMG_20180409_133818_450.jpg
 
Kuna siku nilitumwa nikanunue jeneza msiba wa jirani yetu.... Nikiwa nakaribia eneo la majeneza akatokea mpenzi wangu kapoteza pesa aliyotumwa kununua vitu vya dukani kwao (alitapeliwa na wajanja wa karata tatu) kwa ninavyomfahamu babaake alivyo mkali nikajikuta nachomoa 50,0000/= ya kununulia jeneza na kumpa... Haya yalikuwa matumizi nje ya bajeti
Na jee uliporudi msibani na kuwaambia ulichofanya nadhani waliidhinisha matumizi hayo kwa vile "umefanya kwa nia njema"?
Ha ha ha, nadhani mkuu hapo hata umuite Polepole akutetee hakuna atakaye kuelewa
 
Na jee uliporudi msibani na kuwaambia ulichofanya nadhani waliidhinisha matumizi hayo kwa vile "umefanya kwa nia njema"?
Ha ha ha, nadhani mkuu hapo hata umuite Polepole akutetee hakuna atakaye kuelewa
😀 😀 😀 😀 Nilishaisoma atmosphere... Kwahiyo nikafanya manoeuvre mwenyewe... Nikapeleka jeneza bila ganji kuona
 
Mjadala wa BILIONI 1500 unazidi kushika kasi... Sasa watu wanaulizwa ni kweli zimepotea... Wanasema hapana hazijapotea.

Na ni kweli hakuna panaposema zimepotea ila zimeingizwa kwenye matumizi yasiyoonekana kwenye makaratasi ya kumbukumbu. Sasa baada ya hapo kila mtu anaweza kuchanganya na za kwake.

Mbunge mmoja kule Afrika kusini wakiwa bungeni akasema nusu ya wabunge wote humu ndani ni wapumbavu. Kauli hii ikawakera wengi mpaka supika akamwamuru jamaa afute kauli yake.

Hakubisha! Akakubali kufuta kauli yake kwa kusema nusu ya wabunge wote humu ndani sio wapumbavu!!

Hivi tofauti ya kupotea na kutojulikana kilipo kitu ni ipi!?

Tunaishi nchi ya wanoni... Ni nani akamfunge paka kengele!? Ili akija wote tumsikie? View attachment 750830
ha ha ha hata jamaa leo kafuta kauli ?ila watanzania wa sasa sio mazwazwa ........................ we need awa monii
 
Bora amefuta kauli,Tufanye mambo mengine ya maana ila ukweli tumeshaujua,
 
Back
Top Bottom