Yahusu kufuta kauli

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
Mjadala wa BILIONI 1500 unazidi kushika kasi... Sasa watu wanaulizwa ni kweli zimepotea... Wanasema hapana hazijapotea.

Na ni kweli hakuna panaposema zimepotea ila zimeingizwa kwenye matumizi yasiyoonekana kwenye makaratasi ya kumbukumbu. Sasa baada ya hapo kila mtu anaweza kuchanganya na za kwake.

Mbunge mmoja kule Afrika kusini wakiwa bungeni akasema nusu ya wabunge wote humu ndani ni wapumbavu. Kauli hii ikawakera wengi mpaka supika akamwamuru jamaa afute kauli yake.

Hakubisha! Akakubali kufuta kauli yake kwa kusema nusu ya wabunge wote humu ndani sio wapumbavu!!

Hivi tofauti ya kupotea na kutojulikana kilipo kitu ni ipi!?

Tunaishi nchi ya wanoni... Ni nani akamfunge paka kengele!? Ili akija wote tumsikie?
IMG-20180420-WA0034.jpg
 
Mjadala wa BILIONI 1500 unazidi kushika kasi... Sasa watu wanaulizwa ni kweli zimepotea... Wanasema hapana hazijapotea... Na ni kweli hakuna panaposema zimepotea ila zimeingizwa kwenye matumizi yasiyoonekana kwenye makaratasi ya kumbukumbu.... Sasa baada ya hapo kila mtu anaweza kuchanganya na za kwake....
Mbunge mmoja kule Afrika kusini wakiwa bungeni akasema nusu ya wabunge wote humu ndani ni wapumbavu.... Kauli hii ikawakera wengi mpaka supika akamwamuru jamaa afute kauli yake
Hakubisha! Akakubali kufuta kauli yake kwa kusema nusu ya wabunge wote humu ndani sio wapumbavu!!
Hivi tofauti ya kupotea na kutojulikana kilipo kitu ni ipi!?
Tunaishi nchi ya.. Wanoni... Ni nani akamfunge paka kengele!? Ili akija wote tumsikie....!??? View attachment 750830
Ni kweli hazijapotea ila zimetumika ndivyo sivyo
 
Yetu majicho na ma midomo na mashikio.
 
Back
Top Bottom