Yahusu kufuta kauli

Yahusu kufuta kauli

hili linaitwa natural born killer
Kishada
tapatalk_1519379278372.jpeg
 
yamekwisha mkuu sio umekwisha, siku hizi nachapia kinyama.
kwa uzoefu wa matukio ya kisiasa bongo lilipofikia hilo sakata ndio basi tena.
kwa sababu wahusika wote wamenena, ngoja tuone mwisho wake lkn.
😀 😀 😀 Dah asavali umenipa ufafanuzi
 
Ha ha ha! Mshana Jr umenichekesha sana.
Kwamba nusu ya wabunge ni wapumbavu. "Fuata kauli wewe alla!"
"Basi nafuta kauli, nusu ya wabunge humu ndani sio wapumbavu" makofi kwa wingi sana kutoka kwa Wabunge.
 
😀 😀 😀 Wepi sasa watakaoshangilia
 
Kuna siku nikiwa shuleni, nilihifadhi mkebe wangu mpya kabisa kwenye begi langu, na ndani ya mkebe niliweka mia mbili ya noti, basi nikaacha begi kwenye dawati mimi nikatoka nje kupumzka maana ilikuwa ni saa za mapumziko, NDANI DARASANI HAKUKUWA NA YEYOTE ALIYEBAKI... Muda wa mapumziko ulipoisha nilirudi darasani, basi nikavuta begi langu na kuanza kulikagua....
Duh!! Ule mkebe niliouacha ukiwa na mia mbili ya noti ndani yake sikuukuta, na wala sikujua ulienda wapi hadi leo hii.... Sijui hata kilitokea nini
 
Naomba ueleweshwa, niyupi mwenye akili kati ya hawa wanafunzi wawili?
1; 100/100
2; 0/100 Mimi nachagua 2 kwakua ana sifuri 1, huyu 1 hafai kwakua ana 1 na sifuri mbili.
 
Kuna siku nikiwa shuleni, nilihifadhi mkebe wangu mpya kabisa kwenye begi langu, na ndani ya mkebe niliweka mia mbili ya noti, basi nikaacha begi kwenye dawati mimi nikatoka nje kupumzka maana ilikuwa ni saa za mapumziko, NDANI DARASANI HAKUKUWA NA YEYOTE ALIYEBAKI... Muda wa mapumziko ulipoisha nilirudi darasani, basi nikavuta begi langu na kuanza kulikagua....
Duh!! Ule mkebe niliouacha ukiwa na mia mbili ya noti ndani yake sikuuta, na wala sikujua ulienda wapi hadi leo hii.... Sijui hata kilitokea nini
Kuna siku nilitumwa nikanunue jeneza msiba wa jirani yetu.... Nikiwa nakaribia eneo la majeneza akatokea mpenzi wangu kapoteza pesa aliyotumwa kununua vitu vya dukani kwao (alitapeliwa na wajanja wa karata tatu) kwa ninavyomfahamu babaake alivyo mkali nikajikuta nachomoa 50,0000/= ya kununulia jeneza na kumpa... Haya yalikuwa matumizi nje ya bajeti
 
Naomba ueleweshwa, niyupi mwenye akili kati ya hawa wanafunzi wawili?
1; 100/100
2; 0/100 Mimi nachagua 2 kwakua ana sifuri 1, huyu 1 hafai kwakua ana 1 na sifuri mbili.
😀 😀 😀 Lugha ya masimango
 
Kuna siku nilitumwa nikanunue jeneza msiba wa jirani yetu.... Nikiwa nakaribia eneo la majeneza akatokea mpenzi wangu kapoteza pesa aliyotumwa kununua vitu vya dukani kwao (alitapeliwa na wajanja wa karata tatu) kwa ninavyomfahamu babaake alivyo mkali nikajikuta nachomoa 50,0000/= ya kununulia jeneza na kumpa... Haya yalikuwa matumizi nje ya bajeti

Nini kilifuata mkuu pale ambapo unarudi mikono mitupu bila jeneza
 
Back
Top Bottom