Yahusu kufuta kauli

Yahusu kufuta kauli

Taifa la ajabu sana hili huu ujinga duniani unapatikana hapa!!! Ashakum si matusi si ajabu kiongozi wa Taifa fulani alimwambia mtawala fulani anaongoza maiti hii kauli ya miaka ya 70's huko hadi leo inaishi.

Na wangefufuka hivi leo kweli angemsifu marehemu Kenyatta kwa kuona mbali sana. R.I.P Jomo Kenyatta and Julius K.N Nyerere
 
"Nusu ya wabunge wote humu ni wapumbavu" kisha akakanusha "Nusu ya wabunge wote humu si wapumbavu". haichekeshi lakini lazime ucheke kidogo. Kwamba pesa labda zimejenga madaraja , lakini hazikupitia bungeni kibajeti kupata idhini ya bunge kama sheria inavyoongoza. Uhalali uko wapi? Ikitokea miradi imechakachuliwa bunge litamuhoji nani? Kuna jambo, tena si dogo
 
PESA HAZIJAIBIWA, ISIPOKUA HAZIJULIKANI ZILIPO. NI SAWA NA KUSEMA HUUMWI ILA UNAMAFUA TU.
 
Huu mjadala unatakiwa uwe haufungamani na upande wowote ili uweze kutenda haki.
kwanza wanao tuhumu wasichukuliwe hatua za kisheria kwani ni haki yao.
Wanaotuhumiwa waendelee kutoa ufafanuzi maana wapo watu wenye uelewa wa kuchambua chuya na mchele.
CIG amebainisha kisomi mno ni lazima wanaojibu watumie usomi wenye kiwango kilekile.
Mimi nimesikiliza hoja za pande mbili tatizo linabakia sehemu moja tu kwamba ni kwanini majibu mazuri yaliyotolewa leo hayakutolewa kipindi cha ukaguzi??mpaka mzee wa watu kuamua kutoa riport baada ya kukosa maelezo?
Hatahivyo naamini hakuna nia ovu wala hakuna wizi bali ni technicalities za kiuandishi na watu kupata hoja ili kujiinua kisiasa na hii ni sawa na padre kukutwa anafanya dhambi au Mwalimu kufeli mtihani.
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia zote shida ipo kwa watekelezaji wa upande wa pili kuja na hoja jadidi zenye justification beyond doubts
 
Back
Top Bottom