uhaale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 305
- 153
Mshana!!!!!!!!!!!!Test ya kuangalia kama dawa ya muku imekubali ni kuchimbiwa shimoni na kinu cha mahindi Kuwekwa kichwani kisha watafutwe kina mama wawili wenye nguvu wayatwange mpaka yalainike
Mshana!!!!!!!!!!!!Test ya kuangalia kama dawa ya muku imekubali ni kuchimbiwa shimoni na kinu cha mahindi Kuwekwa kichwani kisha watafutwe kina mama wawili wenye nguvu wayatwange mpaka yalainike
Mambo ya kuchanja machale ni Ushirikina unajikabidhi kwa miungu itakayokutaabisha miaka yote!Doh nimeogopa kidogo baada ya kuona madahara ya kuchanjwa wakati wa kufa! maana kuna ndugu yetu anateseka na magonjwa ya nguvu za giza tukampeleka Tanga Segela kwa babu mmoja maarufu wa kidigo akachanjwa na kupakwa dawa flani nyeusi kama unga wa mkaa inawashaa...kifuani mgongoni na sehemu zote za maumivu... sasa nayo ina madhara kama muku au ile ni tiba tu haina madhara doh!
Mbali na kuchanjiwa kuna dawa yake ya kunywa kama unajisikia na homa.au mwili hauna nguvu ukipewa glas moja ukaimaliza aisee unakua na nguvu na unahisi zimeongezeka sana ila.madhara yake baadae upate na homa utajuta itakupeleka utaona kifo kipo mbele yake inatakiwa ukiinywa unywe hiyo kila mara ukiiacha kwa mda ukapata homa imekula kwako mi nilishawahi kua mnywaji wa hiyo niliposafir kwenda sehen ambayo haipatikan nilipatwa na homa sikuwah kupata toka nzaliwe niliporudi nkawahadisia jamaa wanaonipa ndo wakanambia hivyo bas tokea siku hiyo hadi leo sikuitumia tena
hata yanga Jana tulikuwa kama tumechanjiwa Muku, si uliona ufaji wetu

Huyu nae akichokoza si ndio kuaibika hukoKuna wengine wanachanjia Muku ya kwenye uume.....ni hatari sana....

Ya kwenye dushe mpaka ichokozwe na mkeo au kimada kwa kuipeti peti kwa madaha.....Huyu nae akichokoza si ndio kuaibika huko![]()
![]()
Huna Muku ya kuzidisha nguvu shambani? nataka niwe nalima eka 10 kwa siku! Nataka kuacha ''ubwege!''Mmmhh! Muku