Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,449
- 829,817
- Thread starter
- #41
Muku hauhitaji professionalism sana sana hatapigwa kwa TKO kwakuwa ule ni ugomvi wa kusukwaDuh, majaribio mengine si kutishana huko??
Ila nilishasikia, hata kule kigoma wakati wa uchaguzi kuna vijana huwa wanafanyiwa hiyo kitu.
Mkuu vipi kwa mfano bondia akichanjiwa hiyo muku, hawezi kuwa kama maiweza kweli??