Yahusu kuchanjiwa muku

Yahusu kuchanjiwa muku

Ufundishwe kumfisha mtu asiyetaka kufa wakati hana maisha tena??
Si ndio kuua indirect huko??
Hana maisha kwa vipimo..au matakwa ya mfishaji??
Utayaingia pole pole...baadae mwenyewe utatafuta kilinge...na kwa hiyo kazi yako mbona utawafaa huko...
Mkuu mengine yaache...kama yalivyo...kama ingelitakiwa hivyo ..watu wote wangejua ... .... ... wengine ni mawakala au wanatafuta kariba flani humu!
Samahani lakini mkuu...una maamuzi pia!
Ongeza uelewa... .. elimu ni bahari...
Naamini hujanielewa hata nukta... Compassion yangu kwenye uumbaji wa Mungu iko juu kiasi kwamba hata kula nyama huwa naona shida
 
Kwa style hii watu wataendelea kuwa maskini na kuibiwa sana na waganga njaa... Mtu anaamini kweli kuna dawa inamsaidia asife au asiumie? Hii akili sisi watanzania tumeitoa wapi?

Mi namtaka aliyechanjiwa muku nimchape risasi nimwone ambavyo haimdhuru then anirudishie na mimi.

Huu ni ujinga wa kutaka kuwatapeli watu.
 
.
q-3.jpeg


Jr
 
.


Jr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom