Yahusu kuchanjiwa muku

Yahusu kuchanjiwa muku

Haikopeshi inapiga kote kote
Duh!kuna story moja sikuwahi kuithibitisha sijui kama ilikuwa gahwa au vp kuna jamaa alipiga mzizi wakiuita mpini mpini nimejaribu kutolitamka jina halisi basi akawa na miadi kaisha noa panga lake vizuri cha ajabu kuku wa kuchinjwa hakutokea ikawa heka heka hapo home siri ikafichuka sasa wapo wanandugu watupu mwanaume peke yake kamati ikakaa hakuna namna jamaa analia kama kichanga sister wake mkubwa ikabidi aokoe jahazi segere likachezwa sister akachemka a kaja mwingine na mwingine na mwingine wakaanza kujirudia wapi inasemekana mpaka bimkubwa wake nae alipitiwa.
 
Mshana unikumbusha hae avae,dah.
9363e1edc473b7a33c68947b49b28467.jpg
Hili neno laweza kuwa na tafsiri nyingine kwa wengine lakini kwa watu wa Tanga lina maana yake muhimu ya ugumu ujasiri na roho ngumu
Hili nililishuhudia huko Lushoto kwa watu kadhaa waliochanjiwa muku ni wagumu kuugua kuumia na kiboko ya yote kufa aliyechanjiwa muku ni mtu mwenye roho ngumu hasa akikamatwa kwa mfano kwenye tukio la ujambazi au wizi na wananchi wenye hasira kali wanaweza kumpiga mpaka wakadhani wameua lakini siku inayofuta akakutwa bado anapumua.

Muku ni mzuri Unapokuwa hai lakini ni kitu kibaya kabisa unapokaribia kuachana na dunia hii kwa maana ya kifo...watu waliochanjiwa muku hufa kwa mateso makubwa sana kutokana na madawa aliyokunywa na kufanyiwa...akifanikiwa kufa mapema basi si chini ya siku tatu na hata akipata ajali mbaya kabisa au hata kuchomwa moto au kukatwa shingo mwili wake huchukua muda mrefu mno kupo.

Ninafahamu wengi wanapenda ujasiri na kuwa na kinga ya muku lakini kumbuka mateso siku roho yako ikitaka kuachana na mwili wako
Ukiweza kafanye lakini madhara yake ndio hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom