Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini.
Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN
Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo Al Jazeera kutoka Qatar, France 24 wa Ufaransa, DW wa Ujerumani pamoja na BBC wa Uingereza.
Kwa akili za kawaida tu hata kama unaonewa inakuwaje vyombo vyote vya habari vya Kimataifa vyenye credibility isiyo na shaka vikuonee? Una nini hadi uonewe?
Kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Safari hii Samia ndo utaelewa nini kiliwapata kina Milosevic, Pinochet na wengineo.