serikali ya samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imefulia? Imeanza kujibebea fedha za Wananchi zilizopo Benki. Eti inataifisha

    Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu. Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari...
  2. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu maandamano ya Sabasaba

    Kuna a researcher aliangalia maandamano between 1900-2000 yaliyofanikiwa kufanikisha regime change akagundua kitu called The 3.5% Rule. Aligundua kwamba maandamano yaliyofanikiwa kuondoa serikali madarakani ni yale ambayo 3.5% ya population ilitokea na kuenda mtaani kuandamana. Ingawa it's not...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kujidanganya tu! tupo pabaya kama taifa

    Serikali ya kujidanganya tu! tupo pabaya kama taifa kwa ukweli 1. Marafiki wanapungua 2. Kesi kwa Rais na wanaulinzi wetu zinatengenezwa kwasababu ya Oct 29,2025 3. Pesa za maendeleo kutoka US and EU zimekatishwa 4. Samia anakimbiwa kiasi kwamba Dangote aliomba asiwepo Kenye kwenye kikao...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe ufafanuzi: Makamu wa Rais ni Msaliti na anakwamisha Maendeleo na Mipango Serikali ya Samia?

    Guys Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat. Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini? Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Hatutaki fidia, Tunataka Serikali ya Samia iondoke madarakani, kama wanaweza waturudishie roho za watoto wetu

    Wakuu, Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake, Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka Wananchi wanataka...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Matumaini ya kupata katiba mpya ni makubwa sana kwa sababu serikali ya Samia ina utashi wa kisiasa

    "Matumaini ya kupata katiba mpya ni makubwa sana kwa sababu serikali ya Samia Suluhu Hassan ina utashi wa kisiasa" - Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu, sera, bunge na uratibu nchini Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na mwandishi wa BBC
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

    Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Imewezesha Mashirika ya Umma Yaliyokuwa yanaleta Hasara Kujiendesha Kwa Faida.Yamo TANESCO na TRC

    My Take Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania. Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko. Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL. Pia soma Ojambi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ludovick Rwezaura alishambulia Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Samia

    Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA na mtu wa karibu wa siku nyingi na Waziri Mkuu mpya (Mwigulu Nchemba) ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Rais Samia... Amejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki, aliyebatizwa na anayepokea...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

    Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema: “Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia, awamu isiyotaka kusikia neno haki

    Wako tayari wakuue wanapokusikia unataka haki. Wao wanaamini Amani ndio kila kitu lakini si kukupa HAKI. Wanalinda AMANI kwa kuua hata raia ambao hawataki viongozi wabaya. Wanalinda AMANI kwa kufukuza au kuhamisha wafanyakazi wanaopinga upigaji ndani ya miradi ya maendeleo. Wako radhi WAUE mji...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Gen Z amkeni mkafanye kazi. Serikali ya Samia hamtaweza kuipindua, mtachanganyikiwa kwa msongo uzeeni

    Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi? Miaka ya 2000 Niliona Darasa la saba wenye angalau leseni ya udereva hata bila cheti au wenye cheti...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu

    Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu. Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwako AG na Serikali ya Samia; Hakuna Nchi itawapa ushirikiano kuwarudisha Wanaharakati

    Kwenu kilaza mkuu AG na vilaza wengine mliojazana kwenye Serikali isiyo halali ya Samia na CCM. Nyaraka zilizowasilishwa ICC zimeeleza wazi Serikali ya Samia na CCM inafanya enforced dissaperance na extra judicial killings kwa activists na dissents. Zimeonesha jinsi mlivyowanajisi Wanaharakati...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Gen Z waombe msaada wa pesa hizo billion zilizo zuiwa kwa serikali ya Samia kwa kupitia mashirika ya haki za binadamu katika kipindi hiki cha misiba

    Gen Z waombe msaada wa pesa hizo billion zilizo zuiwa kwa serikali ya Samia kwa kupitia mashirika ya haki za binadamu katika kipindi hiki cha misiba. Kuna fedha nyingi sana takribani billion 200 zimezuiwa kutolewa kwa serikali ya Tanzania kwa mauwaji waliyofanya. Hii ni nafasi ya gen Z kutumia...
  19. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taasisi ya Thabo Mbeki: Tanzania kwa sasa haina Serikali halali, maridhiano ya kweli yatapatikana kwa kukiri kipi hakikwenda sawa ili kirekebishwe

    TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025 Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya! Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia tafakari ya kina na yenye maumivu kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika Tanzania mnamo tarehe 29 Oktoba...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
Back
Top Bottom