Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ni watanzania tena wazalendo na watiifu sana,wanalinda usalama wa raia na mali zao,ukileta vurugu lazima wakudhibiti tu
inaonekana bado hayaja kukuta lakini at least kuwa na huruma kwa watanzania waliopoteza maisha na familia wanazotoka, kwani aliye uawa huenda akawa ni baba, mama, kaka,dada au mtoto wa mtu
 
Kwakuwa cdm ni wapinzani so wapo sapposed kufanya watakacho kinyume cha sheria?.
Je ufisadi wa ccm ndio kigezo cha kuvunja sheria makusudi?.
Hivi yakitokea mauaji ya kutisha dr slaa atapona kwa ocamp.
Tafakari chukua hatua hatuna sababu yoyote ya msingi kupelekwa kama mangombe kuvunja sheria na taratibu za nchi kwa kutumainishiwa maisha bora wakati tunapoteza ndugu zetu kama gharama ya kupata hiyo ahadi ya maisha bora toka kwao.
Na kisha tunaita huu ni mwanzo tu kwani inatakiwa iwe nchi nzima
 
Nachokiamini nikwamba ipo siku nchi yangu itakuja kukombolewa kwa gharama yoyote kwakuwa ccm hawapo tayari kuwapa wengine wenye uchungu na nchi yao, CCM wamejifanya kama wao niwawekezaji katika nchii hivyo awaathiriki nautendaji mbovu wa serikali yake!!Hata nchi zilizoendelea zilikombolewa kwa gharama tusikate tamaa huu nimwanzo!!! haya machozi na Damu vinavyotiririka kati usowa aridhi ni dhahiri ipo siku nawao watakuja kulia zaidi ya hapo!!
 

Attachments

  • chadema.jpg
    chadema.jpg
    1.9 KB · Views: 132

We KIBUNANGO nimeshindwa kukutukana kutokana na maadili ya JF na mm mwenyewe, lakini naona wewe si MTANZANIA, unaweza kuwa matanzania kwa kuzaliwa lkn mtanzania anaiombea mazuri Tanzania na Watanzania wenzake, so unavyosema good unfurahio sio.

ngoja nchi tukiichukua utawaona jamaa zenu kina RA na wenzake waking'aa KISUTU
 
wake up, nothing come easy! let the blood drip,

Sio tatizo lako mkuu, mepandikizwa ujinga na ulimbukeni kichwani mwako.
Unachoamini wewe bila umwagaji damu basi hakuna mabadiliko.
Na maranyingi watu kama wewe huwa mnashiriki kupitia katika screen za luninga zenu huku ndugu zako wanakufa simple bikoz dr aingie masadarakani.
Open your eyes as well as your heart
 
Nonsense. You cannot choose a battle field in the course of war erruption. If Chadema wanted to instigate violoce on those grounds, they are totally offshoot. In fact, the poor are the most hit by these violence, as today most may never earn a single cent for a bread!. At the end of the day, this approach won't help either Chadema or Tanzanian politics any how.
If IGP had overruled permission granted by his subbordinate, Chadema had plenty of room (time and space) to work out alternatives, instead of the instigating barbaric acts on innocent people the way we saw yesterday.

Mungu Ibariki Tanzania

Vita vya Maji Maji viliuwa appr. 500k people; Watu laki tano ilikuwa percentage kubwa sana ya population ya Tanganyika wakati ule!
Kila kitu kina mwanzo na sacrifice. Matokeo ya utawala bora kutokana na protest yatafaidisha kila mtu hata hao "innocent na poor"
 
Really?? Nilidhani ni katiba tambarabovu inayosababisha utawala mbovu? Kama Katiba itampunguzia madaraka yaliyokithiri, rais kama taasisi hawezi kujikuta anakumbwa na mazingira kama yanayotokea leo. Kwa maoni yangu it is the system which is dictatorial rather than a person who vowed to implement and protect that pathetic constitution because he likewise has no power to amend it in person. Ndio maana watu wanadai Katiba mpya kwa matumaini kwamba ITAPUNGUZA kama sio kumaliza mianya ya ubabe kama huu.

pamoja na katiba mpya inayohitajika, pia kuna haja kubwa kubwa ya kuelimisha watu kuelewa wajibu wao ktk kutekeleza majukumu yao, sina hakika kama polisi na wateuliwa ktk nafasi mbalimbali za kazi wanafahamu kwa undani majukumu wanayokuwa wanatakiwa kuyatekeleza na misingi na miiko ya hizo kazi zao, naamini wengi hawajui utawala wa sheria maana yake nini, na hiyo inawafanya waendelea kujikomba. hivyo pamoja na katiba mpya itabidi nafasi zinazoshikiliwa na wateuliwa ziachwe wazi na watu waombe kwa utaratibu wa kusailiwa!!!
 
wake up, nothing come easy! let the blood drip,

Sio tatizo lako mkuu, umepandikizwa ujinga na ulimbukeni kichwani mwako.
Unachoamini wewe bila umwagaji damu basi hakuna mabadiliko.
Na maranyingi watu kama wewe huwa mnashiriki kupitia katika screen za luninga zenu huku ndugu zako wanakufa simple bikoz dr aingie masadarakani.
Open your eyes as well as your heart.
Mabadiliko tunayataka lakini si kwa staili hii ya kuamrishwa kama mbwa kufanya uvunjifu wa amani iliwapate mtaji wa kisiasa
 
Hakika ni huzuni na majonzi kwa Taifa letu. CCM lazima wabebe lawama na DAMU ILIYOMWAGIKA ITAKUWA JUU YAO. Ipo siku CCM watakuja kulipia madhambi haya wanayotufanyia Watanzania wenzao.

Kwa mtazamo wa Haraka MPANGO MZIMA ULIKUWA HIVI:
CHADEMA PAMOJA NA VIONGOZI WAKE NI TISHIO KWA CCM. Kwa hiyo kilichofanyika ni KUTENGENEZA PICHA BANDIA YA KI-INTELLIJENSIA KUWA KUTAKUWA NA UVUNJIFU WA AMANI. CCM NA POLISI WAKAWEKA MIKAKATI WAKIJUA KABISA VIONGOZI WA CDM WAKIWEMO DR.SLAA AMBAYE ALIKUWA RAIS HALALI NA MWENYEKITI MBOWE WATAONGOZA/KUHUTUBIA MKUTANO HUO. MTEGO UKAWEKWA KUWA WASIANDAMANE HUKU CCM/POLISI WAKIJUA KABISA CDM WATAANDAMANA. WAKAANDALIWA VIJANA MAMLUKI WA CCM(GREEN GUARDS)KUCHOCHEA VURUGU MARA TU POLISI WAKIANZA KUYAZUIA MAANDAMANO. POLISI WAFYATUE RISASI HALAFU KAMATA VIONGOZI WOTE MHIMU WA CHADEMA HASA DR.SLAA NA MBOWE MAANA HAWA NDIYO KIINI CHA TISHIO LA KIFO CHA CCM. BAADA YA HAPO N I KUWAFUNGULIA MASHTAKA VIONGOZI HAWA WA CHADEMA NA KUHAKIKISHA KUWA WANAFUNGWA ILI WAPOTEZE SIFA YA UONGOZI KICHAMA,KIKATIBA NA HATIMAYE WASIPATE NAFASI YA KUGOMBEA NAFASI ZOZOTE ZA KIUONGOZI HASA URAIS NA UBUNGE KWA MWAKA 2015 NA KUENDELEA. MKAKATI/MTEGO HUO UMEFANIKIWA KUWANASA WALENGWA. SASA TUSUBIRINI KINACHOFUATIA! HAKIKA CCM NI CHAMA CHA MAJAMBAZI.

Haya ni mawazo yangu ambayo naamini ndiyo ulikokuwa mkakati mzima wa kuisambaratisha ngome ya CHADEMA. Watanzania lazima wajue kuwa CCM bado wana uchungu na CHADEMA baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010, ambapo kama CCM wasingeli CHAKACHUA matokeo ya kura CDM ilikuwa inachukua nchi. Huu ndo ukweli na KIWETE na CCM wanalijua hilo. Kama hiyo haikutosha CDM wakaja na KUSUSIA Hotuba ya KIWETE na kuanzisha VUGUVUGU LA KUANZISHWA MCHAKATO WA KUTAKA KATIBA MPYA. Hili nalo likawa ni pigo takatifu kwa CCM. Mambo yote haya yameidhalidhalisha CCM na kuonekana kama CHUI wa KARATASI asiyeweza kung'ata. Juzi KIWETE kwa aibu akatangaza kuridhia SHINIKIZO LA CDM la kutaka KATIBA MPYA. Mzee mzima amesalimu amri kwa CDM lakini kwa UCHUNGU NA HASIRA!!

Kwa hiyo wanachofanya KIWETE/CCM kwa sasa ni kujaribu KUIMALIZA CHADEMA kwa mbinu zozote zile ikiwa ni HALALI AU HARAMU kwa aidha kuwanyima CDM uongozi wa UMEYA katika Halmashauri na Miji ambako CHADEMA walishinda kwa kishindo au kuzuia maandamano,kupiga na hata ikiwezekana kuua!!!! Haya ndo yaliyotokea Arusha jana. Wenye MACHO na MASIKIO na waone na kusikia sasa kinachoendelea kwenye nchi hii.

Mimi nashauri kwa viongozi wa CHADEMA waende hatua moja mbele sasa KWA KWENDA NA KUOMBA JUMUIA ZA KIMATAIFA NA NCHI ZINAZOTOA MISAADA KWA TANZANIA KUSITISHA MISAADA NA MIKOPO KWA SERIKALI DHALIMU YA CCM.

Hapa tulipofika kwa sasa we can say ENOUGH is ENOUGH. CCM hawawezi kutupeleka vile wanataka wao. Huu ubabe wa kupiga watu na kuwaua simply because wameamua kufanya maandamano ya AMANI haukubaliki kama Malaria. Polisi wamevunja katiba kwa kuzuia maandamano Halali ya CHADEMA kwa interest za mabwana zao CCM.

Alutta continua!
 
Kwani mpwa hauna kitu kingine cha kupost mbona unarudi kitu hicho hicho??? Inaelekea hauna maoni mapya kwenye hii thread...

Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!
 
Nakumbuka hotuba zake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, Muheshimiwa Wilberd Slaa alikuwa akisisitiza kuwa yeye na chama chake hawako tayari kuingia Ikulu au kuwa kiongozi huku damu ya wa TZ inamwagika!!!!

Huko Arusha Serikali imeharamisha maandamano ya CDM lakini Dr. Slaa na uongozi wa CDM wamekataa kutii amri ya Serikali na kinyume chake amewaamrisha wananchi wavamie kituo cha Polisi matokeo yake ni Askari na wananchi wetu wamepoteza maisha kwa sababu ya kutaka Umeya wa Arusha!!!

Damu ya wa TZ imeshamwagika!! Nani awajibike? ni Serikali au ni uongozi wa Chadema?

Source: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=13188

Hebu tupe sababu za kuharamishwa maandamano ya CDM???? They are all rubbish, flimsy and mere speculations!!! They are even provocative!!! Kama watawala wa nchi hii wataendelea kushindwa kusoma na kutafsiri alama za nyakati..... hicho kilichotokea AR... it will be just the first wave of bloodshed.... there are more yet to come....
 
Aisee nimesikia bbc network Africa ya saa tatu usiku kuwa watu zaidi ya 10 wameuawa kwa risasi za moto.

Mwenye habari zaidi atupe wana JF

There deaths will never go unpunished!!! There blood will nourish the tree of freedom!!! AMANDLAH!!!!!!
 
This is sad indeed. Ila unategemea nini kwa wanafunzi wa CCP?
Hapo walikuwa field work - "testing, gun testing, tunajaribu, gun testing, tunajaribu...."
 
poleni wana Arusha, huu ni mkosi kwa JK na siri...kali yake, saikolojia ya kiumbe hai anayeitwa binadamu inasema huwezi kumnyamazisha binadamu anapotaka kuongea au anapotafuta unafuu kutokana na ukandamizaji kwa kumuua binadamu mwenzie ili iwe mfano au kumuudhibu, bali kwa kumshawishi kisaikolojia na kumpatia haki yake ndiyo njia sahihi ya kutatua tatizo, hili linadhihirishwa na filamu kama escape from sobibo.

I like this......
 
Back
Top Bottom