Kwa hiyo wewe unaona ni sawa tu kwa CCCM kuburuza uchaguzi wa mameya Arusha, Mwanza, Mbeya, kote ambako walishindwa uchaguzi. Unaona ni sawa tu CCM kutumia nguvu ya dola kuendeleza ukandamizaji. Watanzania wameamka, Tunaibiwa hazina, na tumeibiwa kura tunyamaze tu eti kwa sababu Tanzania ni nchi ya amani. Hapana.
Mkuu mimi sijasema hayo unayo yasema wewe, isimo vizuri post yangu