Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Mimi nawashauri Wananchi wote wanaoipenda TZ naomba tuache kuchochea chuki na kuweka hamasa za kisiasa mbele badala ya utaifa kwanza! wananchi waliokufa Arusha ni Raia wetu watukufu miongoni mwao wako Askari wetu waliopoteza maisha yao wakiwa ktk utumishi wa umma! hivyo mimi nalaani mauaji yote yanayofanyika kinyume cha sheria! kwani mauaji halali ni yale yanayopitishwa mahakamani kwa mtu aliefanya kosa la mauaji!

lakini wakati huo huo siungi mkono kuchochea fujo na vurugu ili kufidia hasara za kisiasa! bila shaka machafuko ya Arusha yamesababishwa na CDM kutaka diwani wao awe meya wa Arusha! sasa naona si haki kabisa kwa viongozi wa CDM kushinikiza maandamano haramu kwa faida za kisiasa huku wakijua kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani kama tulivyoona vibaka wakipora maduka na kuchoma moto mali za Wananchi! hii ni kinyume kabisa na ahadi za Viongozi wetu wa upinzani kuwa hawako tayari kuwa viongozi huku damu za Wananchi zikimwagika!

Leo Wananchi Tunauhakika Tukiamua Kusikiliza Mawazo ya Kadogoo Ndio Tutakuwa Kadogoo Miaka Yote. Njama na Mipango ya CCM Sikuzote Inanukia Hii Harufu ya Maneno Kama Haya "Usichochoe" Ukiandamana Utaleta Machafuko" Wanataka Tukae Nyumbani Kwenye Giza na Wao Wanapunga AC na Kula Pesa za Serikali Huko Mafisadini. Wazazi Wangapi Hivi Tunaongea Wanalala Chini Muhimbili Wakisubiri Kujifungua? Ukweli ni Kwamba Kuna Wazazi na Watoto Wanakufa Dakika Hii na Wengine Hawafiki Asubuhi Kisa Fisadi Anataka Alipwe Dowans Badala ya Vitanda, Mashuka, na Dawa za Wazazi Wetu? Kadogoo Anafikiri Hakuna Haja ya Kwenda Mtaani, Wewe Unacheza ... Hongera K kwa Ushahuri Wako wa Kishujaa
 
Kikwete na serikali yake ndio wanaopaswa kubeba lawama. Kuna uhuru wa kukusanyika Tanzania na serikali haina haki ya kuzuia uhuru huo. Kazi yao ni kulinda amani kuhakikisha mkusanyiko unafanyika kwa amani. na Hufanyi hivyo kwa kufyatua risasi za moto. Kikwete has to go!

Uhuru usiokuwa na mipaka ni hatari!!!
 
Nasaha ilishatolewa kuwa CDM wasiandamane kwani kutatokea uvunjifu wa amani na tumeona yaliyotokea! ni uporaji, kuchoma magari na maduka moto! sasa sidhani kama ingekuwa sawa Serikali kuachia maandamano hayo yaendelee!!! wao waliruhusiwa kufanya mkutano lakini maandamano hayakuruhusiwa sasa nani wa kubeba lawama?

Intelijensia yao iliwaambia kuna mipango ya kufanya fujo katika maandamano yale, walioomba maandamano(CDM) yalikua ni ya amani, hivyo siamini hawa walioomba(CDM) kufanya maandamano ndio waliokua na nia ya kufanya hizo fujo, kwahiyo polisi walipashwa kuwalinda hawa wanaoandamana kwa amani na raia wengine wasiohusika kwa kuhakikisha hao wanaotaka kutumia maandamano hayo kufanya vurugu(kupitia intelijensia yao) hawapati nafasi hiyo, wao wamewakabili waandamanaji wa amani kama vile wao ndio wafanyafujo wenyewe, that is not right at all, na kwa kuwavamia waandamanaji wale wa amani, polisi ndio wamefanya hizo vurugu na kusababisha umwagaji damu, hivyo tunashawishika kuamnini hizo intelijensia zao ni wao kufanya vurugu endapo raia wataandamana maana kuharibiwa kwa mali kulitokea baada ya wao polisi kuwashambulia raia na si kinyume. thats the plain truth. Huwezi kusema eti jamaa alinichokoza ndio maana nikampiga alafu ukawa huna hatia ya kushambulia, polisi kazi yao ni kulinda sio kushambulia.
 
Nani aliyewahi kusema kuwa moto wa mabadiliko unaweza kuzimwa kwa pingu au kwa risasi? Walishindwa makaburu wa Afrika ya Kusini na wameshindwa Waisraeli. CCM haiwezi kujihakikishia usalama wake madarakani kwa kutumia risasi. Hapana haiwezekani.
 
Mashujaa? Ushujaa wa nini? Hao ni waporaji, vibaka na wafanya fujo. Na nna uhakika wote ni wafuasi wa kanisa fulani kama ulivyo wewe.

Mshe?/e&.. mkubwa wewe! Sijui kama ni binadamu. Kama ndivyo, basi ubongo wako ni wa mnyama tena mbwa mwitu. Hao unaowaita vibaka siyo binadamu!?! Roho zenu ninyi zimekakamaa kwa kupiga pushapu kila siku. Ndiyo maana mmekazana kuanzisha mahakama ya nini sijui ili muendeleze maovu yenu!!! Lazima uwe na uchungu na binadamu wenzio. Bora tuishi na vibaka kuliko kuishi na mijizi na mifisadi kama wewe. Nao ole wenu mdondoke mtafuatiliwa mpaka mlipe gharama ya uovu wenu.
 
Tanzania ni ya wa TZ wote sio ya chama fulani au watu fulani tu! hatuwezi kukubali nchi yetu isambaratike tu kwa sababu chama fulani kinataka madaraka kwa hali yoyote ile hata kama ni kumwaga damu ya wananchi!
Kwa mimi Taifa langu kwanza halafu ushabiki wa kisiasa nyuma!
nashukuru kwa matusi wala sishangai kwani hii ndio tabia mlionayo nyinyi watu wa fujo!!!!

unasema hatuwezi, wewe na nani? maana walioandamana ni wananchi wenye maamuzi kama wewe, nao wana haki na nchi yao kama wewe nao wameamua kutumia haki yao kuandamana sasa wewe unasema eti (hamuwezi)
wewe na nani? wao nchi yao ni ipi?
 
Intelijensia yao iliwaambia kuna mipango ya kufanya fujo katika maandamano yale, walioomba maandamano(CDM) yalikua ni ya amani, hivyo siamini hawa walioomba(CDM) kufanya maandamano ndio waliokua na nia ya kufanya hizo fujo, kwahiyo polisi walipashwa kuwalinda hawa wanaoandamana kwa amani na raia wengine wasiohusika kwa kuhakikisha hao wanaotaka kutumia maandamano hayo kufanya vurugu(kupitia intelijensia yao) hawapati nafasi hiyo, wao wamewakabili waandamanaji wa amani kama vile wao ndio wafanyafujo wenyewe, that is not right at all, na kwa kuwavamia waandamanaji wale wa amani, polisi ndio wamefanya hizo vurugu na kusababisha umwagaji damu, hivyo tunashawishika kuamnini hizo intelijensia zao ni wao kufanya vurugu endapo raia wataandamana maana kuharibiwa kwa mali kulitokea baada ya wao polisi kuwashambulia raia na si kinyume. thats the plain truth. Huwezi kusema eti jamaa alinichokoza ndio maana nikampiga alafu ukawa huna hatia ya kushambulia, polisi kazi yao ni kulinda sio kushambulia.

Waliopoteza roho zao ni wale waliokwenda kuvamia kituo cha Polisi kulazimisha viongozi wao waachiliwe ndipo polisi walipojaribu kuwazuia na waandamanaji kuuwa Polisi 3 na hapo ndipo nao wakauwa! na ndipo wafuasi wa CDM wakasambaa mjini kupora na kuchoma moto majumba na maduka!! sasa kama waandamanaji hawakuwa na nia ya machafuko kwanini waue askari na kuchoma magari moto?
 
Tanzania ni ya wa TZ wote sio ya chama fulani au watu fulani tu! hatuwezi kukubali nchi yetu isambaratike tu kwa sababu chama fulani kinataka madaraka kwa hali yoyote ile hata kama ni kumwaga damu ya wananchi!
Kwa mimi Taifa langu kwanza halafu ushabiki wa kisiasa nyuma!
nashukuru kwa matusi wala sishangai kwani hii ndio tabia mlionayo nyinyi watu wa fujo!!!!
Hivi, nikikuambia toka hapa nitakuwa nakutukana? Toka hapa!
 
La hasha siungi mkono ubabe wa CCM wa kupitisha meya wao kinyume cha sheria au kanuni kama unavyosema bali nachosisitiza ni kuwa tusitumie njia za mkato kudai madai yetu ya msingi kwani kufanya hivyo hasara zake ni kubwa zaidi kuliko faida! kwa sababu tutatoa nafasi kwa adui kutumia chance!

Kweli CCM ni wababe lakini tunatakiwa kuwa waangalifu zaidi ili tusisababishe taifa kuangamia kwa sababu za hasira! kulikuwa hakuna umuhimu wa kulazimisha maandamano kwa faida ya mtu mmoja tu anaetaka kuwa meya wa Arusha na kusababisha damu ya wananchi imwagike!

Kadogoo Tupe Sababu za CCM Kukataa Maandamano na Mkutano wa Chadema? Ulitaka Chadema Wasikilize na Kusubiri Mpaka Lini?CCM Wao ni Nani Kulazimisha Sheria Zao Nchini Wakati Katiba Yenyewe na Sheria Wametunga Wao? Chadema Hatumbui JK Kama Raisi na Unategemea Kitu Gani Kitamfurahisha Jk Kuhusu Chadema? Kuna Historia Gani ya Watanzania Kuhatarisha Amani ya Mji wa Arusha au Nchini? Polisi na FFU Wasingeweza Kutoa Security ya Kutosha Kuhakikisha Wanachama wa Chadema Wanaenda Majumbani Salama? Kwanza Inaonyesha Hapa JK Hawaamini Polisi na Jeshi Kwa Sasa, Ukweli Hawakumpigia Kura kwa Wingi. Pili Inaonekana Jinsi Gani Polisi wa Tanzania Wasivyo na Training ya Kutosha, Hawajui Jinsi ya Kudhibiti Mikutano Wala Maandamano, ni Aibu Tupu. Tunaomba Video za Hili Tukio Kama Wananchi wa Arusha Tunalo. Tuwaumbue CCM na JK Duniani

"JK Afiki 2015 na Mapambano Ndio Yameanza Kumwondoa Mwizi"
 
Waliopoteza roho zao ni wale waliokwenda kuvamia kituo cha Polisi kulazimisha viongozi wao waachiliwe ndipo polisi walipojaribu kuwazuia na waandamanaji kuuwa Polisi 3 na hapo ndipo nao wakauwa! na ndipo wafuasi wa CDM wakasambaa mjini kupora na kuchoma moto majumba na maduka!! sasa kama waandamanaji hawakuwa na nia ya machafuko kwanini waue askari na kuchoma magari moto?[/QUOTE
Ningeweza kusema kitu hapa lakini nawaheshimu sana mods! But anyways, go to hell!
 
hivi, nikikuambia toka hapa nitakuwa nakutukana? Toka hapa!

anaefaa kufukuzwa au kukamatwa ni jasusi kwani kazi yake ni hatari kwa kutoa siri za taifa lake hata kwa adui wa nchi yake!
Jasusi toka hapa!!!
 
Naomba sana wanaCCM na hasa swahiba Kibs wasisahau kwamba when you fight with your son who is at the adolescent age, you are bound to be humiliated....

  1. Arusha is the Geneva of africa... they would have chosen the better battle field not arusha
  2. tourism industry is already damaged... while allowing the matching would have just ended with followers feeling fools of themselves
  3. EAF's hub is arusha, i cant imagine how Kenyans are smiling right now

While you think you are slapping your wife, just remember your neighbours are enjoying your degradation

How wrong did the government go on this? no one knows

Well said mkuu!well said!
 
Wewe Kadogoo ni usalama wa taifa uliyetumwa na Kiwete J kuchafua hali ya hewa humu ndani. Kwa maoni yangu ingefaa TISS(wanaojiita usalama wa Taifa) ifutwe kabisa kwa sababu haipo kwaajili ya masilahi ya taifa (National Interest), bali ipo kwaajili ya kulinda masilahi ya chama fulani. Hivyo usalama wa taifa ni taasisi ya chama siyo ya serikali.
WHEREFORE I pray that Kadogoo's contributions should be ignored and be dismissed for lack of objectivity. He is writing pumba as if he has never seen the four corners of the class.
 
ukweli wa mambo sasa tunatawaliwa na dikteta, kiongozi yeyote anaeingia madarakani kwa njia zisizo halali ni lazima atawakandamiza wananchi wake kwasababu anajua yeye s4o chaguo 5lao
 
Zitto na Shibuda ndo pekee wenye akili chadema hawawezi kuunga mkono upuuzi
 
Chadema must refer this case to ICC of The Hegue. Ushaidi wa kutosha upo.

Viongozi wapumbavu kama Said Mwema na Kikwete should defend themselves in the court. Enough is enough, polisi waliua 2001, wakaua mwembe chai .... sasa wameua tena!!!
 
Really?? Nilidhani ni katiba tambarabovu inayosababisha utawala mbovu? Kama Katiba itampunguzia madaraka yaliyokithiri, rais kama taasisi hawezi kujikuta anakumbwa na mazingira kama yanayotokea leo. Kwa maoni yangu it is the system which is dictatorial rather than a person who vowed to implement and protect that pathetic constitution because he likewise has no power to amend it in person. Ndio maana watu wanadai Katiba mpya kwa matumaini kwamba ITAPUNGUZA kama sio kumaliza mianya ya ubabe kama huu.
 
...Mijitu kama hii inayojiita DAR, sijui PG, MS n.k kama tungekuwa na mkutano au vikao vya JF live , unaitwanga ngumi mpaka inajinyea. Maana kwa kulishwa na mafisadi, nina uhakika ina tigo kubwa na mivitambi kama magari ya TOT

Rip wapiganaji na naunga mkono wazo wa kuchangia familia zao.....

Kama ilivyokuwa issue ya barabara uchwara ya JK serengeti, tayari tushachafua cnn, msnbc, fox ect ngoja muone watakavyowalima na mabakuli yenu na urongo wa inchi ya amani mai ashi......!! Lazima jaluo na UN wawalaani kama Ivory Coast..
 
Back
Top Bottom