Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

watu wengine bwana.. serikali ikikuambia usilale na mke wako/mume wako hutalala naye?

Ikithibitika kuwa umeathirika kwa HIV Serikali inahaki kabisa ya kuzuia ngono kati yenu ili kuepusha kumuathiri mwenzako ambae bado hajaathirika!!!!!
 
nna masisikitiko makubwa sana kwa yaliotokea na ambayo yanaendelea kutokea Arusha kwa sasa.

haya yote yasingetokea kama viongozi wa chadema wangeweka mbele maslahi ya Umma na wanachama wao. Ungangari si sera ya Chadema lakini sijui ilikuwaje ikarithi sera hii mbovu

wao wameruhusiwa kufanya mkutano, na wameambiwa wasifanye mandamano iko simple wao walikuwa wafanye huo mkutano, na kama kweli walikuwa na mazito ya kuyasema wangeyasema na ujumbe ukafika bila ya kutokea yaliyotokea.

baada ya kikao ingekuwa kazi ya viongozi kufuatilia kwa nn kibali chao kufutwa, na hii ingekuwa ni vita kati ya Viongozi wa chama na Uongozi wa polisi.

lakini ukiangalia kwa kina utagundua kuwa ni kweli aliyoyasema Rais kuwa ajenda si kufikisha ujumbe bali wanaamini kwa kutumia strategies kama hizi ndio kitawasaidia chama chao kusikika nje ya nchi.

ni ufinyu wa mawazo na masikitiko kwa wanachama ambao kwa bahati mbaya wanapelekeshwa na viongozi hawa wasiowatakia mema bila ya kutafakari

nnaamini ndani ya chadema kuna viongozi ambao hawakuliunga mkono hili, na tutajua baadae kuwa ni Mbowe na Slaa tu

Naomba utueleze ni lini mara ya mwisho ulisikia polisi wamewaruhusu CHADEMA kuandamana? Kila wanapoomba kibali cha kuandamana Polisi huja na visingizio mbali mbali mara hatuna polisi wa kutosha kuhakikisha maandamano hayo yanakuwa salama na wakati mwingine kudai kwamba Polisi wana habari kwamba kutakuwa na uvunjifu wa sheria bila kuwa na ushahidi wa kutosha. CHADEMA kama chama halali cha siasa kina haki ya kuandaa maandamano siku na mkoa wowote ule na polisi kama walinda amani wanatakiwa tu wahakikishe maandamano hayo yanakuwa ya amani. Imefikia mahali maamuzi ya polisi kuwakatalia CHADEMA ruhusa ya kuandamana kuonekana ni usanii ambao unaungwa mkono na chama tawala. Mauaji yoyote yaliyotokea wa kulaumiwa si Dr Slaa, Mbowe au CHADEMA bali polisi na FFU ambao badala ya kuhakikisha amani katika maandamano hayo wao wameamua kuvunja amani na matokeo yake Watanzania kupoteza maisha yao na wengine kujeruhiwa.
 
Si wasio-ona washike mkono au?? watajua unawapenda tuu hata kama unawaelekezea uwani.... HABARILEO wameona waandike tuu japo wanagombaniana vyeo pale.... Unajua usipoandika basi Mwananchi wataandika tena kwa ufasaha saaana... Nimejaribu kuulizia mail kwa key news nimepata... Nilitafuta hili ili isije ikawa uongo buree... maana HABARILEO kama HABARIKESHO....Hahhaaha wezi wa habari na wabunifu wa hadithi na wala si matukio...
 
Kwa hiyo wewe unaona ni bora damu ya wananchi imwagige ili diwani wenu wa CDM apewe Umeya ?

Wewe unaona kuna sababu ya polisi kuua?
Duniani kuna maandamano na hata yanapokatazwa polisi hawatumii risasi za moto ,kuna altenative nyingi hilo
 
Mtu wa pwani, i think i once saw u somewhere snitching as usual.... I had the same feeling that u like the CCM fishy democracy in R-chugga... But u must know that Sombetini diwani wa CCM alimdisi live JK kwenye mkutano wa CHADEMA tena mbele ya Slaa... Wenzio wanabadilika lakini ww uko vilevile...
SOURCE: Gazeti ulipendalo HABARILEO LA LEO..habarileo.co.tz

Si wasio-ona washike mkono au?? watajua unawapenda tuu hata kama unawaelekezea uwani.... HABARILEO wameona waandike tuu japo wanagombaniana vyeo pale.... Unajua usipoandika basi Mwananchi wataandika tena kwa ufasaha saaana... Nimejaribu kuulizia mail kwa key news nimepata... Nilitafuta hili ili isije ikawa uongo buree... maana HABARILEO kama HABARIKESHO....Hahhaaha wezi wa habari na wabunifu wa hadithi na wala si matukio...

Leo umeliamini gazeti la Habari Leo?
 
Nakumbuka hotuba zake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, Muheshimiwa Wilberd Slaa alikuwa akisisitiza kuwa yeye na chama chake hawako tayari kuingia Ikulu au kuwa kiongozi huku damu ya wa TZ inamwagika!!!!

Huko Arusha Serikali imeharamisha maandamano ya CDM lakini Dr. Slaa na uongozi wa CDM wamekataa kutii amri ya Serikali na kinyume chake amewaamrisha wananchi wavamie kituo cha Polisi matokeo yake ni Askari na wananchi wetu wamepoteza maisha kwa sababu ya kutaka Umeya wa Arusha!!!

Damu ya wa TZ imeshamwagika!! Nani awajibike? ni Serikali au ni uongozi wa Chadema?

Source: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=13188

Siyaamini hayo maneno katika rangi nyekundu kama yametamkwa na Dr Slaa. Kwa jinsi alivyo makini kamwe hawezi kuwaamrisha watu kufanya hivi huku akijua kunaweza kabisa kusababisha maafa makubwa. Haya ni maneno ya kumbambikiwa ili kuhalalisha vitendo vya kikatili vilivyofanywa na Polisi na FFU.

Mchungaji Slaa na Mbowe lazima wawe responsible kwa vifo vya wananchi wasio na hatia, kila nchi inakuwa na ulinzi usipofuata sheria lazima sheria ufuate mkondo wake.

Hakukuwa na sababu hawa wachungaji walazimishe maandamano yasiyo kuwa na dira yoyote, either wangeomba kibali na kufuata utaratibu uliokuwepo, TZ haktokuwa na mtu yoyote kuwa above the law. Mchungaji lazima aadhibiwe bila kujali

Aliyekuoa kala hasara, maana hujui hata dunia inakwendaje! Hivyo hata katiba huji inasemaje kuhusu kazi za polisi! Sasa hapo ndo walikuwa wanalinda usalama wa watu na mali zao au lini wamebadilishiwa majukumu?
 
nna masisikitiko makubwa sana kwa yaliotokea na ambayo yanaendelea kutokea Arusha kwa sasa.

haya yote yasingetokea kama viongozi wa chadema wangeweka mbele maslahi ya Umma na wanachama wao. Ungangari si sera ya Chadema lakini sijui ilikuwaje ikarithi sera hii mbovu

wao wameruhusiwa kufanya mkutano, na wameambiwa wasifanye mandamano iko simple wao walikuwa wafanye huo mkutano, na kama kweli walikuwa na mazito ya kuyasema wangeyasema na ujumbe ukafika bila ya kutokea yaliyotokea.

baada ya kikao ingekuwa kazi ya viongozi kufuatilia kwa nn kibali chao kufutwa, na hii ingekuwa ni vita kati ya Viongozi wa chama na Uongozi wa polisi.

lakini ukiangalia kwa kina utagundua kuwa ni kweli aliyoyasema Rais kuwa ajenda si kufikisha ujumbe bali wanaamini kwa kutumia strategies kama hizi ndio kitawasaidia chama chao kusikika nje ya nchi.

ni ufinyu wa mawazo na masikitiko kwa wanachama ambao kwa bahati mbaya wanapelekeshwa na viongozi hawa wasiowatakia mema bila ya kutafakari

nnaamini ndani ya chadema kuna viongozi ambao hawakuliunga mkono hili, na tutajua baadae kuwa ni Mbowe na Slaa tu

Ni sababu zipi za msingi zilizotolewa za kuzuia maandamano, kama siyo uonevu tu?? Subirini zamu yenu, leo siyo kesho na wala keshokutwa. Hata rais akistaafu atafuatwa huko aliko ili alipe gharama ya haya yote. Leo tunaongea kama hadithi/porojo/utani lakini mambo haya yapo na yapo mlangoni yanabisha hodi.
 
Mbona umemsahau na yule Rais alieua wananchi kule Pemba 2001? au kuna ubaguzi hapa?
 
Ninachojua mimi ni kwamba ukitaka kuandamana huendi polisi kuomba kuandamana bali unaenda polisi kuomba ulinzi wakati unaandamana. Kwa ni jk na vibaraka wake hawalitambui hilo???!!?? Ole wenu ndugu zangu. Msidhani dunia hii ni yenu peke yenu. Siku zaja na tena zinabisha mlangoni mtakapotamani kuhamia nchi zingine. Unyonge na ubabe vyote vina mwisho wake.
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!
 
Naomba sana wanaCCM na hasa swahiba Kibs wasisahau kwamba when you fight with your son who is at the adolescent age, you are bound to be humiliated....

  1. Arusha is the Geneva of africa... they would have chosen the better battle field not arusha
  2. tourism industry is already damaged... while allowing the matching would have just ended with followers feeling fools of themselves
  3. EAF's hub is arusha, i cant imagine how Kenyans are smiling right now

While you think you are slapping your wife, just remember your neighbours are enjoying your degradation

How wrong did the government go on this? no one knows

Haya mafisadi usidhani yanajali suala la kuathirika kwa biashara ya utalii. Hayana uchungu na nchi hii. Poleni viongozi wazalendo. Wananchi tupo nyuma yenu na wakiendelea na uonevu huo Arusha hapatakalika wala kutawalika kamwe.
 
Wananchi Tunawasihi CCM Watoeni na Waachieni Viongozi wa Chadema Mara Moja Bila Kupoteza Muda. Sababu Zipi Mikutano na Maandamano Yazuiliwe TANZANIA? Sababu Zipi Watanzania Hawana Haki ya Kuandamana? Sasa Damu ya Watanzania Imemwagika kwa Risasi Kisa Hamtaki Wananchi Waonyeshe Hatuwataki Tena? Wananchi Tunajua Nguvu za Maandamano Ndizo Zinawafanya Kikwete na CCM Kukataa Kutoa Vibali vya Wananchi Kuandamana na Wanajua Wananchi Wakikusanyika Tutaweza Kujiorganize na Kupanga Mikakati ya Nguvu Kupinga Kila Jambo CCM Inapanga Kabla ya Kuundwa kwa Katiba. Tanzania Sio Familia za CCM ni Nchi Kama Nchi Zingine Duniani na Sasa Amani Imeingia Daraja la Kwanza. Wananchi wa Tanzania Wanataka Kuandamana kwa Sababu Nyingi na Kama CCM Imaona Vibaya Ondokeni Tanzania Hatuwanyimi Vibali. Tanzania Sio Nyumba ya Mke wa Pili ni Nchi Eti. Tunawataka Wananchi Kuanza Kuandamana Miji Yote Sasa na Tuna Uhakika Habari Wataipata This Time, Hamuwawezi Kuwamiliki Watanzania Hata Mara Moja. Wananchi Jisikieni Huru Kuandamana Kupinga Dowans na Wizi wa Kura - Huko Ivory Coast Gbagbo Anaondoka. Kenya Walifanya Hivi Vitu na Wote Waliohusika Wanaenda Mahakamani Hague Sio Kenya na Kikwete na Mwema Wanaelekea Kwenda Jela la Kimataifa. Mataifa Yanaona na Kulaani Vitendo vya Kikwete. "CCM ni Chama cha Mauaji Period" JK Afiki 2015 ni Ahadi ya Wananchi

Dk Slaa atangaza maandamano nchi nzima

"Nani Alisema Tanzania Nchi ya Amani? Amani ya Tanzania ni Uongo na Unafiki Dowans na EPA Ndio Inaleta Amani Kwa CCM"
 
mbona wakati wa MKAPA msikiti wa mwembechai waliuwawa watu..? CDM wanacheza na nguvu ya dola, hapo kwenye habari inasema waliambiwa wasiandamane wakapewa maagizo waandamane lini

Mzee Slaa kwa uchu wa Madaraka anatamka maneno haya anawatumia hana lolote, ona sasa wamepigwa risasi end of the day ye atarudi nyumbani kwake miguu juuu. It was simple instruction msiandamane subirini mpaka siku flani

Huwezi kunena zaidi ya uwezo wako wa kufikiri.
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!

Utulivu? Utulivu ili nini kifanyike!
 
Kesho ni Kesho na Nchi Nzima Tuingie Mitaani na Wanajeshi na Polisi Pia. Tuona Nani Atawalinda JK na CCM...
 
Huyu rais alidhani angeendesha nchi kiswahiliswahili tu. Nchi inayumba yeye anatabasamu tu kana kwamba hajui kitu. Umbumbumbu nao ni shida kwelikweli. Sasa mpenda misifa yatamkuta ambayo hakutarajia. Hatakaa kwa amani tena mpaka haki ya wananchi irejeshwe mikononi mwao.
 
Back
Top Bottom