Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

mchungaji anaanza kuishiwa kisiasa, ataishia kama mchungaji mwenzake mtikila, wameacha kazi ya mungu na kukimbilia utawala kimabavu

tanzania hatutaki siasa za mabavu na kusababisha maisha kuwa magumu kwa watu wengine, kama mchungaji huna sera kaa pembeni, change zitakuja kwa kutumia ballot paper sio kwa jazba

mijitu kama wewe enzi zetu tuliiita mi zumbukuku, siku hizi sijui wanawaitaje...
 
Nakumbuka hotuba zake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, Muheshimiwa Wilberd Slaa alikuwa akisisitiza kuwa yeye na chama chake hawako tayari kuingia Ikulu au kuwa kiongozi huku damu ya wa TZ inamwagika!!!!

Huko Arusha Serikali imeharamisha maandamano ya CDM lakini Dr. Slaa na uongozi wa CDM wamekataa kutii amri ya Serikali na kinyume chake amewaamrisha wananchi wavamie kituo cha Polisi matokeo yake ni Askari na wananchi wetu wamepoteza maisha kwa sababu ya kutaka Umeya wa Arusha!!!

Damu ya wa TZ imeshamwagika!! Nani awajibike? ni Serikali au ni uongozi wa Chadema?

Source: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=13188
 
Dr kikwete.
 
Kamuulize Kikwete manake watu walioumia wametumwa na Serikali na sio Dr. Slaa
Nakumbuka hotuba zake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, Muheshimiwa Wilberd Slaa alikuwa akisisitiza kuwa yeye na chama chake hawako tayari kuingia Ikulu au kuwa kiongozi huku damu ya wa TZ inamwagika!!!!

Huko Arusha Serikali imeharamisha maandamano ya CDM lakini Dr. Slaa na uongozi wa CDM wamekataa kutii amri ya Serikali na kinyume chake amewaamrisha wananchi wavamie kituo cha Polisi matokeo yake ni Askari na wananchi wetu wamepoteza maisha kwa sababu ya kutaka Umeya wa Arusha!!!

Damu ya wa TZ imeshamwagika!! Nani awajibike? ni Serikali au ni uongozi wa Chadema?

Source: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=13188
 
Walikufa 38 pemba 2001 chini ya jemadari William Mkapa, Nini watu 10?

Hizo mali za watu mlizochoma kwa wivu na uhuni nani atalipa?

You sound inhuman and i really hope one day something like this happens to you or your loved ones then you will learn and will convert your poor thoughts and beliefs back to normality.
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!
 
Nakumbuka hotuba zake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, Muheshimiwa Wilberd Slaa alikuwa akisisitiza kuwa yeye na chama chake hawako tayari kuingia Ikulu au kuwa kiongozi huku damu ya wa TZ inamwagika!!!!

Huko Arusha Serikali imeharamisha maandamano ya CDM lakini Dr. Slaa na uongozi wa CDM wamekataa kutii amri ya Serikali na kinyume chake amewaamrisha wananchi wavamie kituo cha Polisi matokeo yake ni Askari na wananchi wetu wamepoteza maisha kwa sababu ya kutaka Umeya wa Arusha!!!

Damu ya wa TZ imeshamwagika!! Nani awajibike? ni Serikali au ni uongozi wa Chadema?

Source: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=13188

Angalau mkuu umeweka sababu za mauaji hayo.
Nikweli tunahitaji mabadiliko lakini tuwe makini na wanasiasa jamani, kulikuwa na sababu gani za msingi kulazimisha maandamano?
Wengine wanakufa ili wengine wajiongezee mitaji kisiasa.
Ugumu wa maisha usitufanye tuamini kila kitu tunachoambiwa na so called upinzani kuwa ni sahihi.
Wengine humu wanashabikia na kuita huu ni mwanzo mzuri wa ukombozi, wamepandikizwa vichwani mwao kuwa bila fujo na mauaji basi maisha kwao yataendelea kuwa hovyo.
Narudia kusema hatuna sababu ya kuendeshwa na wanasiasa kama rimoti kontro, tumepewa akili na utashi kuchambua, mwisho wa siku kura zetu na umoja wetu tukiamua hata wachakachue vipi wataondoka
 
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa tu kwa CCCM kuburuza uchaguzi wa mameya Arusha, Mwanza, Mbeya, kote ambako walishindwa uchaguzi. Unaona ni sawa tu CCM kutumia nguvu ya dola kuendeleza ukandamizaji. Watanzania wameamka, Tunaibiwa hazina, na tumeibiwa kura tunyamaze tu eti kwa sababu Tanzania ni nchi ya amani. Hapana.
 
poleni sana wafiwa.wengine tuliobaki tuombe nchi iwe na amani damu isimwagike zaidi...ila i hate you kikwete na serikali yako,udini ni wewe ndio umeuleta na haya machafuko pia ni wewe!...baba ulitambika nini upate huo uraisi???mbona unakuja na magundu hivyo?
 
Nakumbuka hotuba zake wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, Muheshimiwa Wilberd Slaa alikuwa akisisitiza kuwa yeye na chama chake hawako tayari kuingia Ikulu au kuwa kiongozi huku damu ya wa TZ inamwagika!!!!

Huko Arusha Serikali imeharamisha maandamano ya CDM lakini Dr. Slaa na uongozi wa CDM wamekataa kutii amri ya Serikali na kinyume chake amewaamrisha wananchi wavamie kituo cha Polisi matokeo yake ni Askari na wananchi wetu wamepoteza maisha kwa sababu ya kutaka Umeya wa Arusha!!!

Damu ya wa TZ imeshamwagika!! Nani awajibike? ni Serikali au ni uongozi wa Chadema?

Source: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=13188
Acha ujinga na unafiki wewe. Nani alikuambia Arusha kuna ikulu ambapo kina Slaa walikuwa wakienda kuiteka? Ni kosa watu kwenda kituo cha polisi kujua kilichowasibu viongozi wao waliokamatwa kwa jeuri ya ulevi wa madaraka? Nani kakwambia serikali ina haki ya kupora uhuru wa watu kuandamana kudai haki zao zinazokojolewa na CCM na vijibwa vyao? Tanzania inaongozwa kwa amri au sheria? Kama ni sheria ni sheria namba ngapi waliyoivunja kwa kuandamana? Kwa vyovyote wa kuwajibika hapa ni CCM na serikali yao ya kifisadi. Inasikitisha kuona vijana wetu, mapolisi tunaowalipa mishahara kwa fedha tunazozipata kwa taabu wanatumika kuigandamiza demokrasia! Hebu tafakari, kama umma wa Watanzania utaamua kujihami kwa kulipiza kisasi kwa hujuma wanayofanyiwa na wahalifu wa haki za binadamu hawa nani atakuwa salama? Naona Kikwete na CCM yao sasa wanajaribu kumeza tonge kubwa mno wasiloliweza, nalo ni la kuikandamiza demokrasia. Akumbuke hakuna nguvu inayoweza gandamiza matakwa ya wengi kama anabisha akawaulize madikteta na mafashisti wenzake kina Milosevic huko ahera. Uko wapi u=ana diplomasia wa Kikwete? Ni huu wa kuchakachua kura na kuua watu wasio na hatia ovyo kama inavyotokea Arusha? Shame on Kikwete, CCM and all puppets. The wind of change is here to stay.
 
Acha ujinga na unafiki wewe. Nani alikuambia Arusha kuna ikulu ambapo kina Slaa walikuwa wakienda kuiteka? Nani kakwambia serikali ina haki ya kupora uhuru wa watu kuandamana kudai haki zao zinazokojolewa na CCM na vijibwa vyao? Tanzania inaongozwa kwa amri au sheria? Kama ni sheria ni sheria namba ngapi waliyoivunja kwa kuandamana? Kwa vyovyote wa kuwajibika hapa ni CCM na serikali yao ya kifisadi. Inasikitisha kuona vijana wetu, mapolisi tunaowalipa mishahara kwa fedha tunazozipata kwa taabu wanatumika kuigandamiza demokrasia! Hebu tafakari, kama umma wa Watanzania utaamua kujihami kwa kulipiza kisasi kwa hujuma wanayofanyiwa na wahalifu wa haki za binadamu hawa nani atakuwa salama? Naona Kikwete na CCM yao sasa wanajaribu kumeza tonge kubwa mno wasiloliweza, nalo ni la kuikandamiza demokrasia. Akumbuke hakuna nguvu inayoweza gandamiza matakwa ya wengi kama anabisha akawaulize madikteta na mafashisti wenzake kina Milosevic huko ahera. Uko wapi u=ana diplomasia wa Kikwete? Ni huu wa kuchakachua kura na kuua watu wasio na hatia ovyo kama inavyotokea Arusha? Shame on Kikwete, CCM and all puppets. The wind of change is here to stay.

Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!
 
Tutaendelea kuongelea hapa. Lakini sisi ambao hatukuwepo kwenye battleground hatujui uchungu wake na ni uchungu kwa ndugu na marafiki. Something has to be done and it has to be done asap
 
nna masisikitiko makubwa sana kwa yaliotokea na ambayo yanaendelea kutokea Arusha kwa sasa.

haya yote yasingetokea kama viongozi wa chadema wangeweka mbele maslahi ya Umma na wanachama wao. Ungangari si sera ya Chadema lakini sijui ilikuwaje ikarithi sera hii mbovu

wao wameruhusiwa kufanya mkutano, na wameambiwa wasifanye mandamano iko simple wao walikuwa wafanye huo mkutano, na kama kweli walikuwa na mazito ya kuyasema wangeyasema na ujumbe ukafika bila ya kutokea yaliyotokea.

baada ya kikao ingekuwa kazi ya viongozi kufuatilia kwa nn kibali chao kufutwa, na hii ingekuwa ni vita kati ya Viongozi wa chama na Uongozi wa polisi.

lakini ukiangalia kwa kina utagundua kuwa ni kweli aliyoyasema Rais kuwa ajenda si kufikisha ujumbe bali wanaamini kwa kutumia strategies kama hizi ndio kitawasaidia chama chao kusikika nje ya nchi.

ni ufinyu wa mawazo na masikitiko kwa wanachama ambao kwa bahati mbaya wanapelekeshwa na viongozi hawa wasiowatakia mema bila ya kutafakari

nnaamini ndani ya chadema kuna viongozi ambao hawakuliunga mkono hili, na tutajua baadae kuwa ni Mbowe na Slaa tu
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!

Ndugu yangu mpaka pachimbike hakuna kulala, hivi wewe unafikiri kwa serikali ya thithiemu hawa ndio watu wa kwanza kufa?. Watu wanakufa maospitali kwa kukosa dawa, akina mama wanakufa vijijini kwa kukosa ambulance huku watu wanatumia 4 by 4 mjini. Ni watoto wangapi wanakwashakoo vijijini kwa kukosalishe, njaa kwa serikari ya ccm. kwa taarifa tu ndugu ccm inauwa watu kila siku. kama huamini nenda mwananyamala kama huna hela utaona. Hivi vifo ni mwendelezo tu wa watanzania wanakufa kila siku kwa kukosa dawa na njaa. Hiyo Amani unayoisema haipo. Bora kielewe tu kama wanatuuwa kuliko bibi zetu na ndugu wanavyokufa vijijini. Kifo ni kifo tu, hata yule anayekosa dawa kule Namtumbo kwa kukosa dawa Zahanati huku watu wanalipwa Dowans mezani ni sawa tu na waliokufa Arusha leo. Amani ilishatoweka zamami
 
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, Muheshimiwa Wilberd Slaa alikuwa akisisitiza kuwa yeye na chama chake hawako tayari kuingia Ikulu au kuwa kiongozi huku damu ya wa TZ inamwagika!!!!

Huko Arusha Serikali imeharamisha maandamano ya CDM lakini Dr. Slaa na uongozi wa CDM wamekataa kutii amri ya Serikali na kinyume chake amewaamrisha wananchi wavamie kituo cha Polisi matokeo yake ni Askari na wananchi wetu wamepoteza maisha kwa sababu ya kutaka Umeya wa Arusha!!!

Damu ya wa TZ imeshamwagika!! Nani awajibike?
 
CUF wamefanya juzi maaaandamo sijaona ukiponda japo nao walikatazwa.... Ulishawahi ona CCM anakatazwa kufanya maandamano??? Ngozi ya kenge ina madoamadoa..... Kweli ngozi ya kitimoto huwezi kuwamba ngoma... Weee utabakia CCM wenzio tutaendelea kuipinga CCM mpaka tutakapozikwa kwa kuwa wezi usisubiri siku ya arobaini hata ya kumi na tano waweke pembeni...

UKWELI: Maandamano yaliruhusiwa na Andengenye masaa 48 kabla lakini JK kupitia Mwema kabla ya masaa kama nane tuu wakaamua kuibaka demokrasia na kuambukiza tiba badala ya ugonjwa...

MyTake::: Kama makamanda wa mikoani hawatakuwa na full control ya mkoa na kuripoti kwa mabosi kwa njia ya Simu basi iko siku watu tutachongoana ndani ya nchi hiii!!!
 
Back
Top Bottom