Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Poleni sana wapiganaji,Hakuna kulala mbaka nchi yetu tuikomboe kutoka mikononi mwa mafisadi!!
 
Nasikia harufu ya machafuko mengine Mwanza, kama watachakachua uchaguzi wa Meya kama ilivyofanyika Arusha. Lazima tujikomboe, hakuna kulala
 
Kazi ya kuwatoa wakoloni weusi ccm lazima itakunywa damu ya watz lakini ni lazima tusonge mbele na kuhakikisha tunamng'oa mkoloni huyu ccm! Pole sana kwa waliojeruhiwa.
 
Aisee nimesikia bbc network Africa ya saa tatu usiku kuwa watu zaidi ya 10 wameuawa kwa risasi za moto.

Mwenye habari zaidi atupe wana JF

Kwani viongozi wa CDM walipokuwa wanawaamrisha wafuasi wao haya hawakutegemea ? wao ndio wabebe lawama kwa waliyo tokea kwa kutafuta umaarufu usio na tija. Huwezi shindana na dola, na hii imeonyesha kuwa dola ipo na inafanya kazi, next time watatia akili kichwani
 
mke%20wa%20slaa1.jpg
 
CCM wanataka tuwe kama Ivory Coast ndo walidhike.
Naona kuna haja ya kuangalia aina ya watu wanaokuwa recruited uko jeshi la polisi.
Nijuavyo polisi kazi yao ni kulinda raia ila Tz ni kupiga raia
 
nadhan hujui ya Liberia,ivorian,rwanda,burundi,congo,sudani,zimbabwe,ethiopia,,walioko madalakan hawajui kula na vpofu,wanashka mpaka mikono,wanapokula,na hawaondok madalakan mpaka machafuko,haswa ukiwa na rais kilaza kama jk,anajua kucheza ngoma 2,anapelekwa pelekwa na walio mwingza madarakan,mwisho wa TZ ni kama nchi nilizokwambia,subir na uone,wa2 wamechoka na lyf hli
 
Aisee nimesikia bbc network Africa ya saa tatu usiku kuwa watu zaidi ya 10 wameuawa kwa risasi za moto.

Mwenye habari zaidi atupe wana JF

MAKAMaNDA WETU WALALE PEMA PEPONI.TUNASHUKURU JAKAYA KIKWETE AMANI YA NCHI UMEAMUA KUIHARIBU WEWE SASA MOTO UTAWAKA,ALUTA CONTINUE
 
Jamani mbona kama hizi habari zinatolewa kiubabaishaji zaidi maana ninajua mimi kulingana na watu waliokuwa field ni kwamba wamekufa polisi wanne kwa moja alipigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake wakati akimlenga raia na wengine wawili kipigo cha nguvu kilipelekea mauti zao na mmoja kuchinjwa na raia baada ya kuwarushia mabomu yalivyokwisha wakamkamata na kumchinja na wengine ni raia vituo vya polisi kijenge na unga limited vimewashwa moto ccm.mkoa wamevunja vioo na madirisha jengo jipya la salim Alii lililoko karibu na wafanyabiashara wadogowadogo wa madini maeneo ya st.thomas hospital na soko kuu na ottu na lenyewe limevunjwa vioo na kuna maeneo limeungua kama kuna wenye taarifa zaidi tuleeteni jamani na siyo kupigiwa story na watu ambao hawakuwa field maana nachojua hata hao waandishi walipigwa mabomu na kukimbia hivyo hawana habari sahihi kama walioko ndani ya matukio
 
Polisi walitumia nguvu kubwa sana ambayo pia nao inawa cost. KWeli watu zaidi ya 7 wamekufa. Jana usiku polisi mmoja alikuwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya unga limited ghafla alivamiwa na vijana wakidai kulipiza kisasi kwa wenzao walio uwawa na polisi. Polisi kapigwa hadi kufa. Sasa hii nihatari kwa mapolisi kutembea na jezi zao mtaani baada ya kazi. Sasa watalazimika kwenda na nguo za nyumbani kazini.
Ila hii fujo yote kwa jinsi nilivyo tizama kwa macho yangu, driver wa Hon. Mbowe ndio alisababisha hii fujo yote msafara ulivyo fika kwa Dr Mohamed karibu na ofisi za takukuru polisi walitaka kuongoza msafara driver akawa anazuia. hapo ndio mkongoto ukaanza. Hon Lema alikimbilia restaurant ya jirani, Hon Mbowe kaagukia mtaroni. Driver wa Mbowe kweli sijui kama yuko hai, jamaa alipigwa sana kuliko mwizi alieiba kuku. Hon Lema walimsakama alivyo jitokeza tu alipigwa mabuti ya ukweli hadi akasahau jina lake! Ila polisi kwakweli wameuwa sana, walio vyunjwa migu kwa risasi wengi zaidi.
 
Jamani mbona kama hizi habari zinatolewa kiubabaishaji zaidi maana ninajua mimi kulingana na watu waliokuwa field ni kwamba wamekufa polisi wanne kwa moja alipigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake wakati akimlenga raia na wengine wawili kipigo cha nguvu kilipelekea mauti zao na mmoja kuchinjwa na raia baada ya kuwarushia mabomu yalivyokwisha wakamkamata na kumchinja na wengine ni raia vituo vya polisi kijenge na unga limited vimewashwa moto ccm.mkoa wamevunja vioo na madirisha jengo jipya la salim Alii lililoko karibu na wafanyabiashara wadogowadogo wa madini maeneo ya st.thomas hospital na soko kuu na ottu na lenyewe limevunjwa vioo na kuna maeneo limeungua kama kuna wenye taarifa zaidi tuleeteni jamani na siyo kupigiwa story na watu ambao hawakuwa field maana nachojua hata hao waandishi walipigwa mabomu na kukimbia hivyo hawana habari sahihi kama walioko ndani ya matukio

Shukrani mkuu kwa hiyo mapolisi ma4 nayo yameuawa
 
This is shemeful! poor those families who lost their beloved!!
 
Tunasubirii ya Dar, make mi najitolea waniue hao mbwa afu waone! washenzi wakubwa hawa viongozi, uchumi umekufa bila kuwa na balaa lolote.

Hivi mliona wapi taifa bila kupatwa na balaa kufilisika?
 
Jamani mbona kama hizi habari zinatolewa kiubabaishaji zaidi maana ninajua mimi kulingana na watu waliokuwa field ni kwamba wamekufa polisi wanne kwa moja alipigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake wakati akimlenga raia na wengine wawili kipigo cha nguvu kilipelekea mauti zao na mmoja kuchinjwa na raia baada ya kuwarushia mabomu yalivyokwisha wakamkamata na kumchinja na wengine ni raia vituo vya polisi kijenge na unga limited vimewashwa moto ccm.mkoa wamevunja vioo na madirisha jengo jipya la salim Alii lililoko karibu na wafanyabiashara wadogowadogo wa madini maeneo ya st.thomas hospital na soko kuu na ottu na lenyewe limevunjwa vioo na kuna maeneo limeungua kama kuna wenye taarifa zaidi tuleeteni jamani na siyo kupigiwa story na watu ambao hawakuwa field maana nachojua hata hao waandishi walipigwa mabomu na kukimbia hivyo hawana habari sahihi kama walioko ndani ya matukio

Hakuna chombo cha habari kilichoripoti kufa kwa mtu yeyote zaidi ya bbc swahili. Kama kweli watu 10 wamekufa, hizi habari zingekuwa kila kona ya dunia, but nimechungulia kila mahali hakuna. Hata magazeti ya ndani hayajaripoti kufa kwa mtu yeyote. Daily Nation ya kenya imeripoti maandamano tu. Mwananchi na Citizen hawajasema kama kuna mtu amekufa. So nadhani kuna haja ya kuwa na udhibitisho wa kweli kabla hatujaanza kutoa pole etc kwa msiba ambao huenda haupo
 
Ndugu,

sidhani kama ni lazima katika kila jambo iwe ni kulinganisha CUF na CHADEMA, hapa tunazungumzia watanganyika zaidi ya 10 waliodhulumiwa haki yao ya kuishi ili kupisha matakwa ya watawala kuona kila kitu kinatokea kama watakavyo wao hata kama itagharimu maisha ya watu. Kweli ilitokea visiwani na kila mmoja anajua. Sidhani inatosha kuhalalisha mauwaji haya ati tu kwakua na visiwani wakiongozwa na cuf ilisha tokea.

Ndugu zangu tutiane shime. Moto waliouwasha Arusha hautazimika kamwe, bravo Mbowe, Lema na Silaa, ukombozi unagharama zake na sasa tunakuja, watatuua ila hatutaisha, watatuua wakitumaliza tutaishi tena labda watutokomeze na vizazi pamoja na wake na watoto wao, maana nao ni makamanda ktk haya mapambano.

Nguvu ya uma ni nguvu kuu kuliko dola, mabomu na mitutu...hakuna kulala mpaka kieleweke

Tatizo hapa JF watu mnakuwa na double standard sana, juzi CF waliandamana wakasumbuliwa sana na polisi watu mkawa mnashangilia humu, tena wengine bila haya mkawa mnasema afadhali wavunjwe miguu, sasa leo wamefanyiwa chadema n all hell broke loose, acheni unafiki inabidi ifikie mahali muache huu ushabiki wa vyama mfocus kwenye common problrm, kama kushutumu matumizi ya nguvu ya polisi dhidi ya wananchi, wawe cuf, chema au tucta. Hiyo ndo njia pekee ya kuishinda ccm kama nguvu ya wananchi itaungana na sauti moja kusikika kwamba tumechoka kunyanyaswa na kikwete, serikali yake na majeshi yake. Hadi mtakapoacha huu unafiki wenu wa kufurahia cuf wanapopigwa mabomu, na kuona wakiandamana cuf ni wahuni, wadini, hawajui wanachofanya, na wakipigwa chadema mnakuja juu mnachekesha. Juzi watu walidiriki humu kumuita mtatiro chambo, kwa nini alazimishe maandamano ambayo polisi wamekataza, sijui hayakuwa na umuhimu, sijui polisi walikuwa na hako ya kuwapiga mabomu na risasi, sasa yamewafika chadema, story inabadilika. acheni unafiki, to me it seems hamjui mnachokitaka great sinkers.
 
Wana JF naomba kama kuna mwenye taarifa za uhakika kuhusu idadi ya watu waliokufa kwenye maandamano mjini Arusha atupe ukweli.

Mpaka jana saa 4.30 usiku nilikuwa na mmiliki wa mortuary ya Mt Meru Dr Makando alikuwa hana taarifa ya maiti iliyofikishwa katika mortuary yake.

Please tuweke habari za ukweli na uhakika
 
Back
Top Bottom