Upande wa Critics ndio hilo ambalo limenifanya niliongelee.... Observe Tausi, majority ni criticism dhidi ya lugha. Ni wachache ambao wanaongelea namna ilivyo wazi kuwa inaonesha hayupo qualified kwa hio nafasi aliyopo na namna ambavyo ni mfano wa mawaziri ambao kazi yao ni walakini sana kama anawajibika. Kwa mtazamo wangu ile hotuba yake yoote inatowa picha ya nidhamu yake katika kazi (hayupo makini); Yupo chini ya nafasi aliyopo (kama naibu waziri wa Elimu, its un-excusable kutojuwa kiingereza); hana ufikiri, busara wala washauri (maana anazidi kuchemka anavyozidi kuli justfy); hivo at the end of the day tupo pamoja katika hoja yako kuhusiana naye.
ulimi wake una utelezi sana aisee
hadi leo kasema tena pemba, zanzibar na tanzania bara
Na vipi aliposema ''REDIES AND JONTROMEN'' huo ulimi ulikuwa na grisi mpaka ateleze mara zote hizo?
AshaDii,Hazifani kabisa, huyo elimu ni lazima ni ya wasi wasi, hata kama lugha inasumbua huweze soma 1964 namna alivyosoma yeye... Ni ngumu sana.
Point taken Maranya... Nimerudi kwenye mada kaka... Nisamehe buree...