Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

hapana na wewe apo umemsingizia! ameandika it na wala cyo I kama ulivyosema eti idoes`nt matter! wewe tena ulimi ndo umepwaya!
 
Hayo yanawezekana pale tuu, ulipoyataja ukiwa in normal state of mind, ukiwa absent minded, mahali ulipitakiwa utaje tembo, utataja sungura in your mind ukijua umetaja tembo na wala hutajua kuwa umekisema sungura!.

Mara kibao unaweza kuongea na mtu huku wewe ukiwa mbali kimawazo, kila unaloulizwa unajibu ndio!, siku ya siku unapofuatiliwa, unaruka kuwa wewe hukukuubali, aliyekusikia, anakusisitizia ulimkubalia!.

Nasisitiza, ukiondoa hayo madudu mengine, tamshi la Zimbabwe ni kuteleza ulimi!.

Ndugu Pasco, sote tunaelewa hali ya kuwa "out of mind" na katika hali hiyo mambo 10 utakayofanya au kusema basi zaidi ya 50% utayakosea na kufanya watu wajue kuwa uko "absent minded".
Katika hali ya kawaida kwa mtu yeyote ambaye ni mzima na anajua kuwa yuko katika maandalizi ya jambo lililo mbele yake na akawa amejiandaa vya kutosha kulikabili jambo hilo basi hali ya kuwa "out of mind" huja kwa nadra sana, labda itokee amepata taarifa ya ghafla na hasahasa iwe mbaya kuhusiana na familia yake, mzazi/wazazi au hata watu wake wa karibu sana hapo anaweza akawa "out of mind".
Katika jambo lile kwakweli inaonekana waziri hakujiandaa vya kutosha ama hata hakupata wasaa wa kuipitia presentation ile angalau ikae kichwani na kujua ni nini atakachoongelea. Mimi inanitia mashaka sana kuamini kuwa alikuwa "out of mind" kama kweli alikuwa amejiandaa vya kutosha maana ukimsikiliza mwanzoni alionekana kuwa na wasiwasi lakini baadae hali ile ilimtoka taratibu na kujikuta anakwenda sawa, na hii inanifanya niamini hakuwa amefanya maandalizi.
Kuteleza kwa ulimi kupo lakini kama uko makini na unachokisema basi ni rahisi kugundua kuwa hapa ulimi umeteleza na hivyo kurekebisha hapohapo. Kutokujua kuwa umesema 1 1964 (badala ya 1964), Zimbabwe badala ya Zanzibar, visiwa vya Zanzibar na Pemba badala ya Unguja na Pemba... kwa kweli ni udhaifu mkubwa kwa kile unachokifahamu ama kukielezea.
Na ndio maana Pasco leo hii mtu akiua mtu mwingine kisha akapelekwa mahakamani na kusema kuwa alikuwa "out of mind" akidhani anaua nyoka, hilo haliwezi kumshawishi hakimu/jaji kumsamehe... utapimwa akili na hata ushahidi wa kimazingira utatumika kuonyesha kama kweli ulikuwa "out of mind"
 
Mkuu Zlatan, kwanza asante kwa kuwa very objective. Pili asante kwa kutupatia formular ya "out of mind". Mimi huwa nakula tenda za MC, pamoja na uzoefu wangu wa "public speaking", nikijikuta naendesha shughuli yenye high profile people, hakumbwa na tatizo la "panic" linalosababishwa na "adrenalin", sasa mtu asipojua namna ya kucontroll panic, matokeo ndio yale, Mulugo baada ya kuona wanene wa mkotano ule, ali panic na matokeo ndio yale, 11964 na Zanzibar kuiita Zimbabwe!, yote hayo ni sehemu ya kujikwaa ulimi!.
 
Pasco, alipogundua kuwa kakosea ya zimbabwe na one nineteen sixty four, alifanya nini?
Hakuwahi kugundua kuwa alikosea mpaka tulivyomuanika humu, Clouds radio wakapokea na kulishikia bango ndipo akagundua!.
 
What your'e trying to do is actually to assist him to control the damage, but sometimes it is better to keep quite especially when the facts are too obvious.
 
Wanabodi,

Kumekuwepo kwa thread mbali mbali za kumshutumu, kumbeza hadi kumkebehi Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Phillip Mulugo kwa kauli yake ya Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Pemba!.

Naomba kujitokeza kumtetea huyu jamaa "It was only a slip of a tongue!. Yaani aliteleza tuu ulimi kunakosababishwa na adrenalin inayoleta first time panic, hii ndio mara yake ya kwanza katika maisha yake, kuhutubia mkutano mkubwa kana ule
.
Ukiangalia hii video kwenye U-Tube utaona ni PPT Presentation kupitia Over Head Projector kila neno alilotamka pia limeandikwa na kuonyeshwa na ile projector screen.

Japo ni kweli aliitamka neno Zimbabwe lakini screen ya projector ilionyesha neno Zanzibar!. Hivyo hilo neno Zimbabwe, was a slip of a tongue tuu yaani aliteleza ulimi kwa panic tuu ni kosa la kawaida la kibinaadamu!.

Kufuatia kosa hilo dogo tuu, kitendo cha Clouds Redio kumkomalia jana nzima sio cha kistaarabu na sio kumtendea haki!.

Watu sasa wameanza hata kuhoji elimu yake!. Watanzania sasa tumekuwa wagonjwa wa "paper qualifications" na ni kufuatia kosa hilo dogo, watu humu sasa ndio wanamkomalia kuhusu elimu yake!. Kwa watu wanaomfahamu vizuri Mulugo kwa utendaji wake, Kikosa hicho "It doesn't matter" kwa vile jamaa ni jembe kweli!. Nimemshuhudia akipiga mzigo wa kufa mtu!. Akifanya ziara za kikazi popote, hufanya 'surprize visit" kwenye mashule au vyuo na kuibua madudu kibao!.

Tumhukumu mtu kwa utendaji wake na sio kwa "Slip of a tongue"!.

Paskali.
NB. Kitendo cha Mhe. Mulugo kuzungumza na Clouds Radio, na kuzunguzia hili, hakina uhusiano wowote na thread hii, it was a mere coincidence!.

Haya mambo ya kuteleza ulimi kwa Viongozi wetu hayakuanza leo.

Kuteleza ulimi ni jambo la kawaida kwa binaadamu yoyote ila anayeteleza ulimi anapokuwa ni Mkuu wa mhimili...

Kusaidiwa nw maandiko ili kufanikisha hadhima yako inaweza kuwa sahihi endapo unatumia andiko husika ili kuponya hama kumuinua Mungu.

Ukitaka kutumia tofauti basi mwisho wako huwa mbaya japo si kwa wakati huo huo.

Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TanzaniaJob Ndugai alipokuwa bungeni alitumia baadhi ya articles za Biblia kuwasilisha alichokuwa anataka.

View attachment 1918553

Baada ya kudanganya kwa kauli hizo hapo juu kwenye video wenye imani nadhani wakaanza kumpiga mawe ndipo akapewa taarifa na msaidizi wake kuwa alichemka si Yesu aliyetembea na mkewe 😁, akaja na barua hii hapa chini.

View attachment 1918561
Hii ni kuteleza tuu ulimi ni jambo la kawaida, lets not make it a big deal!.

Its normal for human beings
Hata ile neno fonti fedi, kilo ta sukari elfe 5, Sadam rais wa Kuwait, na hata Mulugo aliwahi kuteleza ulimi kwenye kadamnasi ya kimataifa...

P.
 
Haya mambo ya kuteleza ulimi kwa Viongozi wetu hayakuanza leo.

Kuteleza ulimi ni jambo la kawaida kwa binaadamu yoyote ila anayeteleza ulimi anapokuwa ni Mkuu wa mhimili...

Hii ni kuteleza tuu ulimi ni jambo la kawaida, lets not make it a big deal!.

Its normal for human beings
Hata ile neno fonti fedi, kilo ta sukari elfe 5, Sadam rais wa Kuwait, na hata Mulugo aliwahi kuteleza ulimi kwenye kadamnasi ya kimataifa...

P.

Hata Mimi namtetea "Kimbunga" aliteleza tu.
 
Back
Top Bottom