Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Oct 25, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,557
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Kumekuwepo kwa thread mbali mbali za kumshutumu, kumbeza hadi kumkebehi Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Phillip Mulugo kwa kauli yake ya Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Pemba!.

  Naomba kujitokeza kumtetea huyu jamaa "It was only a slip of a tongue!. Yaani aliteleza tuu ulimi!.
  .
  Ukiangalia hii video kwenye U-Tube utaona ni PPT Presentation kupitia Over Head Projector kila neno alilotamka pia limeandikwa na kuonyeshwa na ile projector screen.

  Japo ni kweli aliitamka neno Zimbabwe lakini screen ya projector ilionyesha neno Zanzibar!. Hivyo hilo neno Zimbabwe, was a slip of a tongue tuu yaani aliteleza ulimi ni kosa la kawaida la kibinaadamu!.

  Kufuatia kosa hilo dogo tuu, kitendo cha Clouds Redio kumkomalia jana nzima sio cha kistaarabu na sio kumtendea haki!.

  Watu sasa wameanza hata kuhoji elimu yake!. Watanzania sasa tumekuwa wagonjwa wa "paper qualifications" na ni kufuatia kosa hilo dogo, watu humu sasa ndio wanamkomalia kuhusu elimu yake!. Kwa watu wanaomfahamu vizuri Mulugo kwa utendaji wake, Kikosa hicho "It doesn't matter" kwa vile jamaa ni jembe kweli!. Nimemshuhudia akipiga mzigo wa kufa mtu!. Akifanya ziara za kikazi popote, hufanya 'surprize visit" kwenye mashule au vyuo na kuibua madudu kibao!.

  Tumhukumu mtu kwa utendaji wake na sio kwa "Slip of a tongue"!.

  Paskali.
  NB. Kitendo cha Mhe. Mulugo kuzungumza na Clouds Radio, na kuzunguzia hili, hakina uhusiano wowote na thread hii, it was a mere coincidence!.
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sawa Pasco,

  Ila unaijua theory ya kufidia udhaifu??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. a

  alex50 JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Tujulishe na elimu/cv yake. Itasaidia kutuwezesha kuamini kama ni slip of the tongue
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Vipi na ile one nineteen sixty four? Na yenyewe ni kuteleza kwa ulimi?
   
 5. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hana lolote he was not active and Live during the speech!!!!!!!! huyu ni mbulula wa kutupwa.....anaongea live clouds
   
 6. m

  malaka JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mi hata ukiniamsha usingizini siwezi kuchanganya Zanzibar na Zimbabwe. Labda kama ningekuwa sijasoma.
   
 7. C

  Campana JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwa nini hakusahihisha palepale? Hadi aumbuliwe?
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hapa sijui tuseme nini sasa!! sleep of brain?
   

  Attached Files:

 9. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Pasco,

  Kabla hatujakusaidia kubadili title, nawe 'umetelaza' :)

  Naona naye kajitetea kuwa aliteleza tu.
   
  Last edited: Jan 4, 2016
 10. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nadhani hii nayo ni "slip of a keyboard" lol. Na issue ya 11964(one nineteen sixty four) mbona haujaizungumzia Pasco?
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ulimi wake una utelezi sana aisee

  hadi leo kasema tena pemba, zanzibar na tanzania bara
   
 12. Kipyagi

  Kipyagi Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Jamani hii lugha ni kigeni, hata mbuzi wana lugha yao. Wakati mowing inte ni bora tutumie Kiswahili kwenye mikutano hiyo.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama wewe ulivyoTELAZA kwenye heading yako
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280

  Na vipi aliposema ''REDIES AND JONTROMEN'' huo ulimi ulikuwa na grisi mpaka ateleze mara zote hizo?
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  vipi amekutuma uje umasafishe hapa,mkuu bana!
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  halafu amedai ni mwalimu wa muda mrefu
   
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  hahah Pasco huyu naibu kasoma thread yako kabla hajaongea clouds nini? Kwani naye kasema aliteleza.. But huyu naona hafai aondoke(japo hatoondoka)
   
 18. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ongelea pia 11964!na hii pia ni slip of the tongue?
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mashambulizi ya wadau katika jamii kwa kushindwa kutumia lugha ngeni ya Kiingereza ndio sababu inayofanya Watanzania wengi washindwe kujifunza hio lugha kwa ufasaha kwa woga wa kuchekwa, kebehiwa na hata kusanifiwa ukikosea (mara nyingi hata wakosoaji unakuta pia lugha hawaielewi ila tu bado amcheka mwenzie). Ile sio lugha yake na wala hata makosa katika kukosea... Na ilibidi tu aweke wazi kuwa hio lugha inampiga chenga sababu makosa ni mengi kafanya katika hotuba yake yote.

  Hata hivyo hii slip of the tongue ni acceptable kabisa, kosa kubwa lipo kuwa anawakilisha entity ambayo Kimssingi, hairuhusiwi na ni kosa kubwa kutoelewa lugha ya Kiingereza hasa ukizingatia ndio lugha kuu ya maofisini ukiacha Kiswahili. Naamini kwenye 'vipengele husika' vya sifa ya mtu wa ku cover hio nafasi LAZIMA kuna kipengele kinasema mtu awe fluent in English. Sasa sababu serkali yetu inatowa kazi kwa vigezo vya kujuana, connections na upendeleo ndio madhara yake haya...

  Katika aibu kwenye conference, katia aibu serkali yake then akatutia aibu na sisi hali tuna watu ni wanastahili hata wangeenda pale wangewakilisha vilivyo.
   
 20. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  uoga nao ni factor mojawapo kubwa!!!
   
Loading...