Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

masanjuo

Senior Member
Oct 10, 2016
184
306
Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu.

Naombeni ushauri japo wa mawazo nifanyie biashara Gani ambayo naweza nikazalisha na kupata walau faida Na baadae hata kurudisha both vilivyopotea.

Nawaza biashara Nyingi Lakin Naona kama mtaji hautoshi. NB: Msiniseme naombeni mawazo mazuri ya kunijenga natamni nisimame mwenyewe kama wengine.

Location nipo Dar es Salaam

Pia, Soma=> Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge
 
Tupe faida ulivyoolewa umepata nini na nini?
Ni mwanaume naoa siolewi.

Ukitaka faida anazopta mwanamke kwenye ndoa naweza kukujazia lundo la faida kabla wakati wa ndoa na baada ya ndoa.

Kabla ya ndoa(wakati wa kuanza biashara)mwanaume anampa mwanamke mahari(mtaji) wa kufanyia biashara hiyo ni faida ya kwanza kwa mwanamke.

Je unataka niendelee au niache?
 
Back
Top Bottom