[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kuna dogo tuliwahi kumshikiria achome shindano si ndo akaachia ushuzi halafu ni ule wa ufufuuuu...basi ilikuwa balaaa maana wodi yote wagonjwa wakapona
Hakuna penaduu ya masaa labda ilikuwa powersef hiyo nayo balaa xpen ina nafuu.Niliandikiwa sindano za masaa hospital ya jeshi sindano zenyewe penaduu aise asikwambie mtu
Asantenimeipenda avatar yako tu!
Sijabisha mkuu nimesema ninachokijua.ila hiyo dozi ndio nimesikia hapa jf.Wewe unanibishia mimi sindano zenyewe zilikuwa kila baada ya masaa manne jeshini airpot mwanza na ilikuwa mwaka 2012
wee utakuwa wa kile chama, si bure!kuna dogo tuliwahi kumshikiria achome shindano si ndo akaachia ushuzi halafu ni ule wa ufufuuuu...basi ilikuwa balaaa maana wodi yote wagonjwa wakapona
kuna dogo tuliwahi kumshikiria achome shindano si ndo akaachia ushuzi halafu ni ule wa ufufuuuu...basi ilikuwa balaaa maana wodi yote wagonjwa wakapona
Hakiza watotoSasa wanashindwa nini kumshusha.angekuwa wa kiafrika angeshuka na huku makonde ya mgongo yakimfuata nyuma.
Jinsi walivyovaa hata Mimi ningekimbia
Jinsi walivyovaa hata Mimi ningekimbia
Ha ha ha ha ha ha ha.....hao watu walivyojiziba midomo,hizo kofia hata mimi ningejibanza kwenye kona ya ukuta! Sindano gani hio kundi lote na maandalizi hayo?!! Ningejua tu hawa wanyonya damu!
Niliandikiwa sindano za masaa hospital ya jeshi sindano zenyewe penaduu aise asikwambie mtu
Ukichoma ya makalio hata mguu huwezi kunyanyuaHa ha ha... Kuna sindano bhana ukiambiwa unachoma lazima ujipange kwenda mbio... Kitu inaitwa kristapen au ile penaduu...
Cristapen ndo sindano ambayo ctaki hata kuisikia maishan mwangu.. Niilichomwa kutibu vichomi mpaka leo vichupa vyake cjavitupa kuweka kumbukumbuUkichoma ya makalio hata mguu huwezi kunyanyua
Hahaha! Chezea dogo janja wewe! Hachomwi mtu hapo.
Hahahahahahaha! Mkuu nimecheka sana!kuna dogo tuliwahi kumshikiria achome shindano si ndo akaachia ushuzi halafu ni ule wa ufufuuuu...basi ilikuwa balaaa maana wodi yote wagonjwa wakapona