Ha ha ha ulikamatwa na kaswe** nini.. Nilipigwa huo mziki ni aibuuu... Unachoma cc 10 kwa mara moja, kila tako cc5 alaf upate nesi kilaza aicheleweshe iwe kama inataka kuganda hiviii... Mbona utaimba haleluyaNiliandikiwa sindano za masaa hospital ya jeshi sindano zenyewe penaduu aise asikwambie mtu
Pole ndugu, mimi mama alidhani ndio nimekuwa mlemavu tayari, maana mguu haunyanyukiCristapen ndo sindano ambayo ctaki hata kuisikia maishan mwangu.. Niilichomwa kutibu vichomi mpaka leo vichupa vyake cjavitupa kuweka kumbukumbuView attachment 380167
Tag question:bossn't the?Who is the boss?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha ha ha ha.....hao watu walivyojiziba midomo,hizo kofia hata mimi ningejibanza kwenye kona ya ukuta! Sindano gani hio kundi lote na maandalizi hayo?!! Ningejua tu hawa wanyonya damu!
Bora we mwenzangu labda umebadilika,Hilo swala la sindano ni noma mimi mwenyewe utotoni nilikuwa sichomwi kirahisi,ilikuwa ni lazima wawepo watu wa kunishika ndio nichomwe bila hivyo tutazungushana sana,na nilikuwa nabana matako kishenzi yaani nakakamaa kama gogo
Mkuu we bado una uadui na sindanoBora we mwenzangu labda umebadilika,
Mchomomwaji anawajaribu wachomaji...hajui kua hawajaribiwi,analeta fyokofyoko! Mi now am doing 30's siijui sindano,thank GOD
Mama chupaki huo mdomo wako?Sasa wanashindwa nini kumshusha.angekuwa wa kiafrika angeshuka na huku makonde ya mgongo yakimfuata nyuma.
DuhTag question:bossn't the?
Sitaki hata kuiona, nikiingia kwenye chumba cha sindano nageukia ukutani nafumba macho naanza kupiga kelele hapo jamaa hajanisogelea, mengine malizia, mkuu kwa nini nidanganye sipendi, siitaki ninaiogopaMkuu we bado una uadui na sindano
Sitaki hata kuiona, nikiingia kwenye chumba cha sindano nageukia ukutani nafumba macho naanza kupiga kelele hapo jamaa hajanisogelea, mengine malizia, mkuu kwa nini nidanganye sipendi, siitaki ninaiogopa