BR Stationary
Member
- Oct 7, 2026
- 16
- 35
Maisha ni safari, si mashindano. Usijilinganishe na mtu mwingine, kila mmoja ana muda wake wa kufanikiwa. Kuna siku utacheka, kuna siku utalia, lakini usikate tamaa.
Jifunze kuvumilia, kufanya kazi kwa bidii na kumwachia Mungu nafasi yake. Kumbuka, kuchelewa kufika si kushindwa kufika.
Leo unapambana, kesho unaweza kuwa ushuhuda wa ushindi. ❤️🙏