Woga mwingine bwana

Woga mwingine bwana

Kwa nini rafiki unapenda uchokozi?, Wallahi naandika huku nimefinya macho silipendi hili lidude
 
Nimecheka sana....Hivi kwa nini watoto huwa wanaogopa sana sindano???....
Watoto?? Hata mijitu mizima, tena midume haswaa. Hadi mtu anafikia kuuliza kama kuna vidonge vya kuzuwia tetanus badala ya sindano?
 
Fanya vyote ila sindano huwa nakula kona hata ile ya malaria
 
Kama Njia Za Kidiplomasia Zikishindikana. Basi Ni Vizuri Wakachukue Zile Sindano Za Kuwachomea Wanyama Ili Wamrushie Tu Hapo Hapo Alipo.
Duh. Assume ni mwanao, ungetumia mbinu hiyo kweli? Mtu mwenyewe hata kiganjani hajai
 
Duh. Assume ni mwanao, ungetumia mbinu hiyo kweli? Mtu mwenyewe hata kiganjani hajai
Sasa Kama Mtoto Mwenyewe Anajifanya Mjanja Zaidi Yangu Unataka Nini Nikifanye??.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom