Woga mwingine bwana

Woga mwingine bwana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
1470938256967.jpg
 
Ha ha ha... Kuna sindano bhana ukiambiwa unachoma lazima ujipange kwenda mbio... Kitu inaitwa kristapen au ile penaduu...
Nliwahi pigwa krista, mguu nkaona kama sio wangu vile... Maumivu yake hadi sasa nayakumbuka
 
Kwa hali aliyoionyesha dogo lazma atakuwa amepona. Wamwache tu
 
View attachment 379801[/QUO

Mkuu, mimi nimeona sura tofauti na woga toka kwa huyo mdungwa sindano.Ninaona sura ya mtu asiyekubaliana na hoja yoyote ambayo haina ufafanuzi wa kutosha.Na Katika kujilinda asiathiriwe na maamuzi yao basi yuko tayari hata kubaki peke yake no matter wingi wa watoa hoja ya kudunga sindano ukoje.

Tunahitaji kujifunza ujasiri kama huo katika maisha.Tubebe agenda za watu pale kunapokuwa hoja zenye ushahidi jadidifu.Namuona "Lisu" wa siku hizo zijazo
 
kuna dogo tuliwahi kumshikiria achome shindano si ndo akaachia ushuzi halafu ni ule wa ufufuuuu...basi ilikuwa balaaa maana wodi yote wagonjwa wakapona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom