MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 942
Mkuu nimekugonga like moja ya nguvu sana..........muda so mrefu ntakutunuku shahada ya heshima ya uzamivu pamoja na saluti juu.Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
mimi nimependa hiyo wanazehekaHivi CRDB hakuna hata mkubwa mmoja anaesoma humu ili wafanye warekebisho kwenye benki yao. Kila utakapoona CRDB imetajwa JF ujue ni malalamiko tu.
Tuliipenda sana hii benki lakini naona wakubwa wamezeheka wanakosa ubunifu na kuachia ngazi ili damu changa ije hawataki. Vodacom au Tigo wanabadilisha wakubwa kila baada ya miaka mitatu minne ndio maana kuna ubunifu wa hali ya juu. Hivi wakurugenzi wa CRDB hawalijui hili au nao wamezeheka ?
Kwenye dola ndo balaa, utaambiwa hii mbona feki nk.Kumbe wanakuwa na dola feki humohumo vyumbani mwao...
Mtego wao ni rahisi, andika namba kabla ya kuwapa fedha. Wakikwambia ama pungufu au feki, lianzishe. Hiyo ndo dawa yao, ORODHESHENI NAMBA ZA PESA ZENU?
Waacheni waibe tu jamani.. Mshahara wenyewe laki 6 na hapo unaingia ofisini saa 12 asubuhi unatoka saa 2 usiku..
Off ni siku moja tu kwa wiki.. Hawa bankers wengi hamna kitu ukimtoa Bank Manager na Treasurer hizo takataka sijui Teller, Loan Officer ni njaa tupu
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
Tatizo CRDB wanaajiri wachagga
Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
Kapo kengine pale Azikiwe Premier kanaitwa Haika...kadogo dogo hivi chocolate colour. Kaogope kama una ukoma, labda kama una pesa kidogo.....kama nyingi lazima kakupige
Tatizo CRDB wanaajiri wachagga
Mhhh kuhusu huyo Aika wa CRDB Azikiwe, mdada anapiga kazi ile mbaya yuko super faster & smart. Napata kigugumizi, kwanza hausiki na malipo taslimu ataiba Cheque au Bank Balance?