Atakae kuja kukushambulia tu utajua ni teller, na itampa machungu ya kutafuta pesa kwa nguvu hizi kazi awaachie dada zake. Hapa watakupongeza kwa kuwafungua macho.
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
Mimi nimependa hiyo PAYLAW ......payroll
Mimi nimependa hiyo PAYLAW ......payroll
Hii maana yake nini?
Samahani kwa kuuliza.
hahaha
humu jf ukiwa siriaz sana utapata ulcers
soma tu pita inapokubid koment lakini kufatilia kila kitu humu itakukost
Mkuu hata nbc washenzi nilienda toa pesa nbc mliman city siunajua tena pesa mingi kwenye atm chenga nikaenda dilishan kutoa sasa unajua pesa nyingi Huwez kuanza kuhesabu esabu zilivyotoka kwa machine nikabeba......... Daaaah niljuta nyekundu tano hamna kama mtoa mada na pesa mbovu juu... Nilichokuja kugundua kumbe zile zilizokuwa znagoma kwenye machine ndio zake.
Sehem kama hii watu kama nyinyi hamkosekani! eti nyekundu tano fix ili na wew uonekane una hela kuchafua kazi za watu hapo unapo sema wew wapo vizur zaid ya unavyo vifikiria wew!
Hivi bado tu hiyo tabia ipo, zamani crdb musoma alikuwepo dada mmoja mnene hivi,bonge alikua mwizi sana kwa staili hiyo, unampa pesa gafla ten au 20 hazipo, watu wakalalamika akahamishiwa songea huko kusini, alikua mwizi sana,sijui kama bado anafanya kazi ni kitambo kidogo. Nikajua huo wizi umeisha kumbe bado upo?
Huo mtego sitakuwekea hapo kazini kwako benki. Nakuwekea huku mtaani hadi uhame mtaa.
Hujanijua wewe. Nilimhamisha traffic mmoja mnyakyusa pale Lushoto. Nilimwambia nitamwekea mtego akajua ni mtego wa hela. Alipewa bia za ofa asubuhi alijikuta mtaroni hana nguo na huku nyuma kuna mafuta mafuta meupe kama makamasi. Hakusubiri uhamisho...barua ya uhamisho ilimfuata nyuma....