Wizi Mtupu!

Nyerere alikuwa MWALIMU
 
hehehe hiyo ni mifano hai tu fellow tablet! usizani nimekuwa mwanasiasa, hapana, nimepata kibarua sehem sehem na interview yangu nitatakiwa kuimpress kwamba nina uwezo wa kuhakiki dikshineri la kiswahili! Nikifanikiwa hiki kibarua nategemea nitailipa JF hela wanayolipwa na tangazo la tigo ili waliondowe, na Lily flower nitampeleka shopping mkuranga!

Ile ishu ya kukaribisha wageni ilikula kwangu aisee, kuna njemba ilimeza ID ya kike na avatar kuliko dadaake Beyonce, nilishtukizia dakika ya 90 nikaingia gizani.
 
Ndugu mheshimiwa!

hapo nimetenda haki?
 
babu, mh hayati mwl j k nyerere alikuwa mtukufu. huoni hana kashfa nyingi nyingi!
halafu, hivi mtu akifa ama kuwa hayati bado anaendelea kuwa mheshimiwa?
 
kwa maelezo aliyoandika Sipirini mi naangukia gurupu la kina invizibo

Invizibo kijijini kwao anaonekana kuliko Mandela, akienda njia zote zinafungwa, kwa mwaka anafanyiwa besdei mara 2, eti kwasababu kaanzisha JF.
 
Nyerere alikuwa MWALIMU
Mheshimiwa mwalimu au Ndugu mwalimu?

babu, mh hayati mwl j k nyerere alikuwa mtukufu. huoni hana kashfa nyingi nyingi!
halafu, hivi mtu akifa ama kuwa hayati bado anaendelea kuwa mheshimiwa?
Hahahaha...... we ndo umegonga ikulu....FYI Mheshimiwa akifa ndo anaitwa Hayati........... Siye tusio waheshimiwa tunaitwa Marehemu tukifa....

Ushahidi huu:

Hayati baba wa taifa mwl JK Nyerere
Hayati rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume
Hayati Sokoine

Marehemu Nyagungwe ameacha mke na watoto kazaa
Marehemu Shekabula alikuwa chapakazi na mtiifu kwa uongozi
Marehemu Chokambele ameacha wajane watatu na nyumba ndogo mbili

Invizibo kijijini kwao anaonekana kuliko Mandela, akienda njia zote zinafungwa, kwa mwaka anafanyiwa besdei mara 2, eti kwasababu kaanzisha JF.
Huyu naye akiRIP atakuwa Marehemu........ Uhayati awaachie kina Paw wakifa (Hope sitakula ban hapa)
 
Invizibo kijijini kwao anaonekana kuliko Mandela, akienda njia zote zinafungwa, kwa mwaka anafanyiwa besdei mara 2, eti kwasababu kaanzisha JF.

basi huyo sio mwenzangu...mi hata kijarida tu sina...
ngoja akusikie kama hajakunyang'anya zile ndaba zake za kuchumpa ulizoazima siku ile unaenda kwao Husninyo.
 
Biggy umenichekesha

hayati ndo waheshimiwa waloaga dunia
marehe ndo akina yakhe hapa....duuh

King'ast kakupotosha...mtukufu alikuwaga yule wa Kenya (baba Moi...lol! hivi na Kibaki ni mtukuka?)
Nyerere alikuwaga 'Ndugu Mwalimu'
 
hahahaah dah! nimecheka kwa laudi speaker aisee!
hakyababu anaesema fellow tablet katulia basi anapata zambi!
usimsahau pia merehemu nyani ngabu! marehemu uporoto, marehemu Lizzy, marehemu bht na husninyo! khaaa! yaani JF hatuna hayati hata mmoja?
 
Hahahaha...Marehemu bht, marehemu Asprin, Marehemu Klorokwini, Marehemu JF MMU members isipokuwa..........ngoja nimstahi....

hahahaah dah! nimecheka kwa laudi speaker aisee!
hakyababu anaesema fellow tablet katulia basi anapata zambi!
usimsahau pia merehemu nyani ngabu! marehemu uporoto, marehemu Lizzy, marehemu bht na husninyo! khaaa! yaani JF hatuna hayati hata mmoja?
Utafiti uliofanywa na malaika mbinguni.......hakuna Hayati atakayeuona ufalme wa mbinguni......... ndo maana tunafanya mchakato wa kumtoa Nyerere kwenye Uhayati na kumbatiza umarehemu........
 
Eti wanasema "Heshima ni kitu cha bure", mbona sisi walalahoi hatuitwi "waheshimiwa"? au hatustahili "heshima" au "kuheshimiwa" ?

Wanasiasa bana!

Nilikuwepo!
wasalimieni JF Chit Chat

Hakimu yeyote yule anaitwa mheshimiwa(kumbuka hili)
 
yeomii yaani jamani khaaa!!

hebu uchuro sitaki mimi usiniite marehemu, unajuaje labda wakati wa kufa ntakuwa kwenye daraja la hayati!!!

kwa hiyo mchakato mzima wa kumnusuru mwalimu umefikia wapi? lol usamehewe tu wewe tena bure bila senti

afu huyo 'ISIPOKUWA' hebu mtaje basi tumfahamu...
 
basi huyo sio mwenzangu...mi hata kijarida tu sina...
ngoja akusikie kama hajakunyang'anya zile ndaba zake za kuchumpa ulizoazima siku ile unaenda kwao Husninyo.

Acha aninyang'anye tu, ndaba zenyewe nuksi, zilinipigisha kibuti bana!
 
Ngoja nikaogee magadi dada angu usijeitwa mhishimiwa. Nakuhitaji sana mbinguni.... Sauti yako inafaa sana kuitikia chorus wakati tunamwimbia Mungu.... Mungu anaweza kufurahi akahamishia TBL/SBL mbinguni..... Halafu kule kwa kina hayati akapunguza bei ya mafuta ya Ngeleja ili mahayati wapigwe moto wa uhakika

Twakuomba utusikie!
 
Reactions: bht
Acha aninyang'anye tu, ndaba zenyewe nuksi, zilinipigisha kibuti bana!

heheee zilikubana ukasika kwa wakwe unatembea ka umeliwa na funza? lol...pole!!

halafu naskia unatema kweli (miguuni) hadi invi kaamua kukuachia ndaba zenyewe....
 
Hakimu yeyote yule anaitwa mheshimiwa(kumbuka hili)

kwa kiswahili cha kwenye dikshineri kabisa, hata mimi ni Hakimu, jana niliwahukumia majirani waliopigana chabo na wakarizika na hukumu yangu, je namimi ni mheshimiwa? Au unakusudia Hakimu wa Kisutu tu na mahakama za kiserikali ?
 
jamani wee biggy wewe ...nimecheka mpaka nimeshiba bila kula....

yaani mtakuwa hamjatosheka mnataka kuhama na TBL/SBL kabisa?

hapo kwa kin hayati kupigwa mafuta itakuwa bora zaidi. wanatutesa sana hapa, ni vizuri na wa wakaonje joto ya jiwe huko
 
kwa kiswahili cha kwenye dikshineri kabisa, hata mimi ni Hakimu, jana niliwahukumia majirani waliopigana chabo na wakarizika na hukumu yangu, je namimi ni mheshimiwa? Au unakusudia Hakimu wa Kisutu tu na mahakama za kiserikali ?
Kama ulitoa hukumu kama ya kina Mwanajamiione wewe si mheshimiwa lakini kama ni kama ya kina Kiranga, we ni mheshimiwa. Ukifa utakutana na kina Adolfu Hitla kwenye kambi za mahayati.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…