Wizi mpya: Kaeni chonjo!

Wizi mpya: Kaeni chonjo!

mchunguze vizuri mkeo, atakuwa keshafundishwa na shoga zake namna ya kula bata mujini

Jamaa jasiri sana. anat.omb.ewa halafu anaanika hadharani. mkiambiwa muoe kwenu mnasema LOVE at first sight. haya sasa. love at first sight kwa kila mwenye t.shirt nyekundu. Imekula kwako
 
Tatizo la kuoa wanawake wasiosoma. anamwamini vipi total stranger hata akagawa simu yake. alikua ameangalia wapi wakibadilisha line ? mhoji vizuri huyo my wife wako huenda kuna vingi umeibiwa

Aisee utasababisha jamaa akatoe talaka
 
Tatizo la kuoa wanawake wasiosoma. anamwamini vipi total stranger hata akagawa simu yake. alikua ameangalia wapi wakibadilisha line ? mhoji vizuri huyo my wife wako huenda kuna vingi umeibiwa

Kuna watu nawaita wajinga, mtu anatoka usikokujua anakwambia umpe simu na unampatia.
 
...wajasiliamali waliokosa dira ya kazi...
 
Huyo shem alitoa namba ya siri ya hiyo mobile banking au ilikuwa kwenye simu wakaiona. Poleni..!
 
Pole sana,mwezi juzi nilikutana na kisanga kama hicho, baada ya kucheza na simu yangu waliweza kudeactivate jina langu la M-pesa a/c,hivyo details zangu zote za m-pesa wakaziua,nilipotumiwa pesa ikaenda kwa mwingine namba ile ile i.e one number two people!
Inasikitisha sana

Hakuna kitu kama hicho hata kidogo, kudeactivate majina kwa namna gani???? Mimi kwa taarifa yako nafanyia kazi Voda na system za m-pesa nacheza nazo daily mwaka wa 3 sasa, hakuna kitu kama hicho, labda kudivert namba ukipigiwa kama haupo hewani simu zinapokelewa kwa mtu mwingine, ila huwezi kudivert messages wala m-pesa na wala hakuna uwezekano wa namba 1 kutumila na watu wawili. Nnachopata picha hapo waliswap line yako (kurenew) then ww ukabaki na line bosheni haifanyi kazi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
ahsante kwa taarifa mkuu, pia pole kwa yaliyowakuta!!
 
J

Tulipata hisia huenda walikuwa ni wezi ndipo tukaamua kubadili password nmb mobile kupitia ATM na baadaye tulipiga simu Vodacom ambapo walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb.

Tahadhari: Tuwe macho tusiwaamini hata wanaojifanya ni wafanyakaZi wa kampuni za simu.

1. Poleni Sana
2. Wanapataje Password?
 
Jamaa jasiri sana. anat.omb.ewa halafu anaanika hadharani. mkiambiwa muoe kwenu mnasema LOVE at first sight. haya sasa. love at first sight kwa kila mwenye t.shirt nyekundu. Imekula kwako

Mtapata laana bure kwa kuropoka bila kufikiri.Unavyomuhukumu huyo bibie ulikuwepo?! Acha kupandikiza hisia mbaya kwenye ndoa za watu.Huna uhakika kaa kimya
 
Inamana password zako unarikodi kwenye simu??walipataje hizo nmb mobile password??hata wakichukuwa sim card bado hawatoweza kuchukua pesa zako kama hukuweka wazi password zako,haijaniingia bado sorry.

mkuu, hata kama passwrd unaijua wewe tu, hawa wezi wa kwenye hela za mabenki huwa wana namna yao, sifahamu wanafanyaje, ila nimeshashuhudia kesi nyingi sana watu kuibiwa kwa mtindo huo
 
Nnachopata picha hapo waliswap line yako (kurenew) then ww ukabaki na line bosheni haifanyi kazi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wameiba sana kwa ku-swap line, lakini siku za leo ukiibiwa kwa style hii ni UZEMBE wa benki au MNO (hiyo kampuni ya simu kama ni wallet account)

Zamani tulikua tuna-validate namba ya simu against account and PIN siku hivi ni Namba ya Simu against account na PIN na IMSI, wakiswap system inatakiwa ikatae hiyo transaction
 
Ukweli ni kwamba wanaweza kuswap line na wakifanya hivyo line yako inakufa straight away.Hapo ndipo wanaweza transfer hizo pesa.But all in all lazima wanashirikiana na wafanyakazi wa hizi mobile company, hili ndio tatizo la kuajiri freelancers ambao wanajua jinsi ya kuuza hata line zinazotumika.Swap inafanywa na kitengo maalum customer care kupitia hao freelancers.Wafanyakazi makini watacross check kabla ya kuswap hovyo hovyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom