wali-swap how?ktk kipindi kifupi namna hiyo without third part tiririka kidogoasante kwa mwongozo maana huko kweni bongo umbea umezidi. Njoo njinjo hakuna umbea
Wameiba sana kwa ku-swap line, lakini siku za leo ukiibiwa kwa style hii ni UZEMBE wa benki au MNO (hiyo kampuni ya simu kama ni wallet account)
Zamani tulikua tuna-validate namba ya simu against account and PIN siku hivi ni Namba ya Simu against account na PIN na IMSI, wakiswap system inatakiwa ikatae hiyo transaction
1. Poleni Sana
2. Wanapataje Password?
Mh bado haijaniingia akilini bado
Hakuna kitu kama hicho hata kidogo, kudeactivate majina kwa namna gani???? Mimi kwa taarifa yako nafanyia kazi Voda na system za m-pesa nacheza nazo daily mwaka wa 3 sasa, hakuna kitu kama hicho, labda kudivert namba ukipigiwa kama haupo hewani simu zinapokelewa kwa mtu mwingine, ila huwezi kudivert messages wala m-pesa na wala hakuna uwezekano wa namba 1 kutumila na watu wawili. Nnachopata picha hapo waliswap line yako (kurenew) then ww ukabaki na line bosheni haifanyi kazi.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Inamana password zako unarikodi kwenye simu??walipataje hizo nmb mobile password??hata wakichukuwa sim card bado hawatoweza kuchukua pesa zako kama hukuweka wazi password zako,haijaniingia bado sorry.
Mapoyoyo wako wengi maduka yoote ya makampuni ya cm hayaoni akawakabidhi simu watu asowajua??????
Tujitahidi kupunguza ignorance kws kutanua GENERAL KNOWLEDGES zetu..maana vitu vinaitw
a DO IT YOURSELF lakini mtu anaenda kupanga foleni Mlimani City kutwa siku hiyo hata watoto nyumbani hawali mama kaenda kuwekewa whatsaApp
Pole sana!!
Ila wamama kutwa kusikiliza taarabu na kuangalia tamthilia au kusoma sani na Risasi watajua wapi mambo ya internet
inawezekana aliambiwa password ya kuingilia kwenye net inatakiwa ifanane na ya NMB