Wizi mpya: Kaeni chonjo!

Wizi mpya: Kaeni chonjo!

Tatizo la kuoa wanawake wasiosoma. anamwamini vipi total stranger hata akagawa simu yake. alikua ameangalia wapi wakibadilisha line ? mhoji vizuri huyo my wife wako huenda kuna vingi umeibiwa

Hii kauli!!! Jichunge nayo.
 
unajua kitu inaitwa udukuzi, udukuaji au hacking. we kama unatambaa technologia inapepea, kalaga baho!
kupata p/w hata kwa njia ya udukuzi ni ngumu sana,*||-> hao jamaa lazima watakuwa na mtu ndani ya makampuni ambae anawapa/kuvujisha p/w mara apatiwapo namba za simu za watu mbalimbali
 
kupata p/w hata kwa njia ya udukuzi ni ngumu sana,*||-> hao jamaa lazima watakuwa na mtu ndani ya makampuni ambae anawapa/kuvujisha p/w mara apatiwapo namba za simu za watu mbalimbali

ndicho hasa kinachofanyika. Mawakala wa mpesa,tigopesa na airtelmoney wanalizwa kwa style hiyo
 
Ni laki 3.50 au 350,000/-
Ni kweli kuna ushirikiano na third part!
Cyber security hapa Bongo bado sana.
Angefanyiwa mkubwa fulani haya saa hizi kimeshaeleweka,hii nchi nouma!
 
Jana nilipata kisa kimoja kutoka kwa my wife,alipotoka kanisani alikutana na vijana wawili waliokuwa wamevalia sare za kampuni ya simu ya Vodacom wakidai wanasaidia wateja wao kuunganishiwa huduma za internet.

Baada ya my wife kuwakabidhi simu yake waliifungua na kuirudishia na kumuahidi ataanza kutumia internet baada ya saa moja.Punde si punde akagundua simu yake haiko hewani na baadaye kidogo akagundua alikuwa amebadilishiwa sim card mpya isiyosajiliwa.

Tulipata hisia huenda walikuwa ni wezi ndipo tukaamua kubadili password nmb mobile kupitia ATM na baadaye tulipiga simu Vodacom ambapo walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb.

Tahadhari: Tuwe macho tusiwaamini hata wanaojifanya ni wafanyakaZi wa kampuni za simu.

Nyingi sana hizo, labda sema laki 3.5
 
Mkuu mpe pole kwanza, mbona kama unazidi kumuongezea maumivu vile!!!

Mkuu hapo hakuna pole sababu huyo Mkewe hazimo yupo Ki-digital zaidi,na pia huyu Jamaa mwenye Mume nae hazimtoshi kabisa,yaani ameshindwa kutumia ufahamu wa kawaida tuu wa kugundua kuwa Mkewe ni kiazi sababu haiingii akili Mkeo akwambie upuuzi kama huo then ukamkubalia na kuja mbio mbio kuanzisha Thred humu ndani. Yaani angekuwa Mke wangu angeishia mlangoni mpaka arudi na hiyo hela,Nyambafu...
 
Hata mke hawezi na hatakiwi kujua password yangu! Mkeo kujua password yako ni sawa na kujenga road reserve!:cool2:
 
Tatizo la kuoa wanawake wasiosoma. anamwamini vipi total stranger hata akagawa simu yake. alikua ameangalia wapi wakibadilisha line ? mhoji vizuri huyo my wife wako huenda kuna vingi umeibiwa

Kuna watu nawaita wajinga, mtu anatoka usikokujua anakwambia umpe simu na unampatia.
 
Hakuna kitu kama hicho hata kidogo, kudeactivate majina kwa namna gani???? Mimi kwa taarifa yako nafanyia kazi Voda na system za m-pesa nacheza nazo daily mwaka wa 3 sasa, hakuna kitu kama hicho, labda kudivert namba ukipigiwa kama haupo hewani simu zinapokelewa kwa mtu mwingine, ila huwezi kudivert messages wala m-pesa na wala hakuna uwezekano wa namba 1 kutumila na watu wawili. Nnachopata picha hapo waliswap line yako (kurenew) then ww ukabaki na line bosheni haifanyi kazi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Asante kwa mwongozo maana huko kweni Bongo umbea umezidi. Njoo Njinjo hakuna umbea
 
Kuna watu nawaita wajinga, mtu anatoka usikokujua anakwambia umpe simu na unampatia.

sio simu tu. kuna vingine alitoa. kama aliweza kutoa password ni thahiri aliitoa wakiwa juu yake. ule utamu na pw kaachia.
 
kumbe hamuwajui mahackerz hzo ATM zinaibiwa daily mabank yanalalamika me nasema kilichotengenezwa na binadam akishindwi kwa binadam mwingine

Unakifaham unachoongea lakini? Kuhack ATM unafikiri ni jambo la mchezo?!!
 
Pole sana,mwezi juzi nilikutana na kisanga kama hicho, baada ya kucheza na simu yangu waliweza kudeactivate jina langu la M-pesa a/c,hivyo details zangu zote za m-pesa wakaziua,nilipotumiwa pesa ikaenda kwa mwingine namba ile ile i.e one number two people!
Inasikitisha sana

Waliclone hiyo SIM, loh, wewe ndiyo ulizubaa haswa, na sasa kila unachokifanya kwenye simu wanakijua, ikiingia sms na kule inaingia, ukipiga wanaskiliza, pole!
 
Hakuna kitu kama hicho hata kidogo, kudeactivate majina kwa namna gani???? Mimi kwa taarifa yako nafanyia kazi Voda na system za m-pesa nacheza nazo daily mwaka wa 3 sasa, hakuna kitu kama hicho, labda kudivert namba ukipigiwa kama haupo hewani simu zinapokelewa kwa mtu mwingine, ila huwezi kudivert messages wala m-pesa na wala hakuna uwezekano wa namba 1 kutumila na watu wawili. Nnachopata picha hapo waliswap line yako (kurenew) then ww ukabaki na line bosheni haifanyi kazi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Yeah?...Umesema wewe ni nani hapo VODA?
 
itakuwa wanafanya transactions kupitia simu hyo kama owner wa simu..vibaka hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom